Putin hakujifunza baada ya kilichomkuta Ukraine, ameamsha ugomvi mwingine na Japan

Japan waibiwe gesi gani waliyonayo? Japan ukiachana na udongo na maji, sidhani kama wana rasilimali ya aina yoyote ile katika dunia hii. Hata top 100 nchi zenye rasilimali naamini hawapo ila top 10 kwenye uchumi wapo
Hawa kwenye nchi yao hawana rasilimali yeyoyte. Kitu walichonancho ni ubongo unaofirikia sawasawa na kugundua vitu mbalimbali.

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
Asema Mrussi kutoka Kolomije [emoji3][emoji3]
 
Niliposoma comment yako unamshangaa MK254 kuwa anajuaje data za Jeshi la Russia nikadhani wewe umeamua kusimama kati,nakuja kusoma hii comment nakutana na wewe umekuwa mjuzi wa kujua udhaifu wa jeshi la NATO[emoji3],Kumbe hupendi kusikia Russia akikosolewa ila wewe ndiyo una siri zote za udhaifu wa NATO,nimalizie kwa kukuuliza,hivi upo kweli Tanzania au upo ndani ya NATO ukianalyze mapungufu ya jeshi lao [emoji846]
 
USSR hawakupewa msaada na MTU yoyote marekani aliwapa misaada mashoga zake kina uingereza warusi walipigana wenyewe wakashinda wenyewe
 
USSR walitumia silaha zao, resources zao wamarekani waliwasaidia kina uingereza.wamarekani wakileta ujinga Sisi waRusi tunauwezo wa kuwaumiza kama Hitler ndo maana NATO hawataki vita ya moja Kwa moja na warusi Kwa sababu warusi wanauwezo wa kuaumiza NATO wrote.
 
Mkuu, unaonekana bado umefungwa na uelewa wa historia ya nyuma kidogo, unadhan Ukiachana na security guatantee ya US kwa Japan, Japan hana strong defence industrial base? Unavyosema hatengenezi silaha za maana unamaanisha nini? na unaposema kafungwa speed governor unamaanisha nini?
 
Hizi porojo zote huoni aibu kuandika mkuu....
Ulishindwa hata kugoogle? Karelia ulikuwa hujui kuwa it was annexed from finns?
Sikujua hilo na kwa haraka nasoma hapa kuwa Karelia ilianza kuchukuliwa na Russia tangu miaka ya 1800 wakati Finland ilipata uhuru 1917.

Tunarudi mwanzo. Unabisha kwamba USSR haikupigwa na Finland kwenye Winter war?
 
USSR hawakupewa msaada na MTU yoyote marekani aliwapa misaada mashoga zake kina uingereza warusi walipigana wenyewe wakashinda wenyewe
Wewe kama shoga mmojawapo Wamarekani wanaendelea kukupa misaada mpaka leo. Na hapa unatumia simu yenye teknolojia yao, maana yake unakubali kuwa shoga ili upate mawasiliano.

Marekani ataendelea kutoa misaada kwa wanyonge siku zote ndio 'ushoga' wenyewe kwa watu wenye ufyatu wa akili. Ila kwa wenye akili Marekani ni superpower
 
Russia tunamuogopa tu sisi huku wa magobore lakini mataifa kama Finland, Sweden, Japan, Turkey na Poland yaani wanamuona wa kawaida sana.

Alichobaki nacho anachotishia watu ni nyuklia tu lakini naona hata hao anaowatisha pia wanampuuza tu kwa kufahamu kwamba kaishiwa ujanja.

Tusubiri tuone wiki chache zijazo Finland na Sweden watakapopeleka maombi ya kujiunga na Nato tuone atafanya nini.
 
Mkuu kwa nini unabisha hata kwa vitu vilivyo wazi? Ile Lend Lease Act ya 1941 ilikuwa ni ya kumsaidia nani kama siyo Russia?
 
Punguza mihemko, soma vyema elewa chanzo cha uhasama wao, wanagombea nini na nani mwenye haki
Jaribu kutumia pia hekima ktk kuandika na usiwe unakurupuka kama uharo.
 
Achana na hao vijana, mahaba kwa urusi yamefunga fahamu zao.
 
Mchape na kofi
 
Ina maana hujui Ukraine ameshapigwa vibaya.Ama unasuburi uone kichwa cha Zelensky kimeng'olewa ndio uamini Ukraine kapigwa
project ya delimitalize imeshakamilika
Masaa 72 hadi miezi mitatu inaenda kumalizika bado kuna stalemate.

Ile USSR ndio ilikuwa kiboko lakini sio hawa wanaoogopa wapigana kwenye mvua eti mvua akianza kunyesha wanasema hawawezi kupigana hadi ikatike matokeo yake zana zote zinateketezwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…