Putin hakujifunza baada ya kilichomkuta Ukraine, ameamsha ugomvi mwingine na Japan

Putin hakujifunza baada ya kilichomkuta Ukraine, ameamsha ugomvi mwingine na Japan

Japan waibiwe gesi gani waliyonayo? Japan ukiachana na udongo na maji, sidhani kama wana rasilimali ya aina yoyote ile katika dunia hii. Hata top 100 nchi zenye rasilimali naamini hawapo ila top 10 kwenye uchumi wapo
Hawa kwenye nchi yao hawana rasilimali yeyoyte. Kitu walichonancho ni ubongo unaofirikia sawasawa na kugundua vitu mbalimbali.

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
Sema wewe ni zuzu unajua urussi anazo nuclear submarine ngapi na hadi sasa zimeteketea ngapi ,je unajua bomu la father of all bomu la urussi limetumika wapi mpaka sasa ,unajua viwanda vya kijeshi vya urussi vinaunda nini kwa sasa? Je unajua ukubwa wa jeshi la urussi na askari wangapi mpaka sasa wamekufa? Kwa kifupi kujidanganya kuwa urussi ni dhaifu wakati ujaua hata askari wake milioni 1 ni ujinga mtupu ,marekani ndiyo inadanganya kuhusu nguvu zake za kijeshi. Marekani kivita na urusi marekani ni dhaifu tu
Asema Mrussi kutoka Kolomije [emoji3][emoji3]
 
Na wakuelewe. Statistics za Nguvu za kijeshi ni Siri kubwa. Nashangaa mtu ana ng'ang'ana na statistics za Propaganda. Hao NATO wanazo estimate ya kuwa Russia ni hatari sana na anawazidi. Hapo wameungana huko ukrain lakini wanapigika tu. Au hamuoni kama NATO ipo vitani ?? Yawezekana kuna hata siraha hatari zaidi ya Nuclear zipo store, zikitumiwa ndo na sisi tunaongeza propaganda za Uchambuzi wa Vita!
Niliposoma comment yako unamshangaa MK254 kuwa anajuaje data za Jeshi la Russia nikadhani wewe umeamua kusimama kati,nakuja kusoma hii comment nakutana na wewe umekuwa mjuzi wa kujua udhaifu wa jeshi la NATO[emoji3],Kumbe hupendi kusikia Russia akikosolewa ila wewe ndiyo una siri zote za udhaifu wa NATO,nimalizie kwa kukuuliza,hivi upo kweli Tanzania au upo ndani ya NATO ukianalyze mapungufu ya jeshi lao [emoji846]
 
Urusi hakushinda kwa hisani, asingeshinda yeye ulitaka ashinde nani?

Kwenye WW2 Ujerumani ilizivamia Ufaransa, Poland na Urusi. Denmark ilijisalimisha kwa Ujerumani mapema. Hao tu ndio walitakiwa kupigana. Wengine wote kina Britain, USA na washirika walikuja kuwasaidia wanyonge kina USSR ambao walikuwa hopeless hawawezi kujitetea wenyewe peke yao.

Hitler alijua hilo, hakuivamia Britain yenyewe ndio ilitangaza vita yenyewe. Hakuivamia USA ndio ilijiingiza vitani. Hitler alivamia wanyonge wengine, USSR akiwa mnyonge mmojawapo ambaye alipigwa na kanchi ka Finland.

USSR alipewa misaada kwenye Lend Lease Pact iliyopitishwa na serikali ya Marekani. Similarly na sasa ambavyo Biden anataka kupitisha USD 30 billion. Urusi ndio alishinda kwa hisani ya Marekani, that's a fact
USSR hawakupewa msaada na MTU yoyote marekani aliwapa misaada mashoga zake kina uingereza warusi walipigana wenyewe wakashinda wenyewe
 
USSR walitumia silaha zao, resources zao wamarekani waliwasaidia kina uingereza.wamarekani wakileta ujinga Sisi waRusi tunauwezo wa kuwaumiza kama Hitler ndo maana NATO hawataki vita ya moja Kwa moja na warusi Kwa sababu warusi wanauwezo wa kuaumiza NATO wrote.
 
Narudia tena kukwambia kuwa Japan huyu wa baada ya vita ya pili ya dunia siyo Japan wa enzi zile.
Huyu kafungwa speed governor hata hatengenezi silaha za maana kwa ahadi ya kulindwa na US. Japan wa vita ya pili ya dunia alikuwa wa moto hata US alichezea sana na alikuwa hasalimu amri mpaka alipopigwa ma atomic, japo taarifa ni kwamba alikuwa ashaamua kusurrender na US alikuwa tayari ana taarifa ila kwakuwa US ni vichaa bado wakadondosha nukes.
Huyu Japan wa sasa hata mchina anamwogopesha
Mkuu, unaonekana bado umefungwa na uelewa wa historia ya nyuma kidogo, unadhan Ukiachana na security guatantee ya US kwa Japan, Japan hana strong defence industrial base? Unavyosema hatengenezi silaha za maana unamaanisha nini? na unaposema kafungwa speed governor unamaanisha nini?
 
Hizi porojo zote huoni aibu kuandika mkuu....
Ulishindwa hata kugoogle? Karelia ulikuwa hujui kuwa it was annexed from finns?
Sikujua hilo na kwa haraka nasoma hapa kuwa Karelia ilianza kuchukuliwa na Russia tangu miaka ya 1800 wakati Finland ilipata uhuru 1917.

Tunarudi mwanzo. Unabisha kwamba USSR haikupigwa na Finland kwenye Winter war?
 
USSR hawakupewa msaada na MTU yoyote marekani aliwapa misaada mashoga zake kina uingereza warusi walipigana wenyewe wakashinda wenyewe
Wewe kama shoga mmojawapo Wamarekani wanaendelea kukupa misaada mpaka leo. Na hapa unatumia simu yenye teknolojia yao, maana yake unakubali kuwa shoga ili upate mawasiliano.

Marekani ataendelea kutoa misaada kwa wanyonge siku zote ndio 'ushoga' wenyewe kwa watu wenye ufyatu wa akili. Ila kwa wenye akili Marekani ni superpower
 
Russia tunamuogopa tu sisi huku wa magobore lakini mataifa kama Finland, Sweden, Japan, Turkey na Poland yaani wanamuona wa kawaida sana.

Alichobaki nacho anachotishia watu ni nyuklia tu lakini naona hata hao anaowatisha pia wanampuuza tu kwa kufahamu kwamba kaishiwa ujanja.

Tusubiri tuone wiki chache zijazo Finland na Sweden watakapopeleka maombi ya kujiunga na Nato tuone atafanya nini.
 
USSR walitumia silaha zao, resources zao wamarekani waliwasaidia kina uingereza.wamarekani wakileta ujinga Sisi waRusi tunauwezo wa kuwaumiza kama Hitler ndo maana NATO hawataki vita ya moja Kwa moja na warusi Kwa sababu warusi wanauwezo wa kuaumiza NATO wrote.
Mkuu kwa nini unabisha hata kwa vitu vilivyo wazi? Ile Lend Lease Act ya 1941 ilikuwa ni ya kumsaidia nani kama siyo Russia?
 
Huyu Japan apunguze kisebengo kwanza hana ubavu wa kupigana na Urusi maana alifungwa speed governor na mme wake US.
Pili akianza pigana vita sisi tunaonunua gari used za dollar 1500, 2000 tutanunua wapi sasa.
Aache kisebengo asije tutia matatizoni aendelee tu kutufyatulia mitoyota Viete
Punguza mihemko, soma vyema elewa chanzo cha uhasama wao, wanagombea nini na nani mwenye haki
Jaribu kutumia pia hekima ktk kuandika na usiwe unakurupuka kama uharo.
 
Mkuu, unaonekana bado umefungwa na uelewa wa historia ya nyuma kidogo, unadhan Ukiachana na security guatantee ya US kwa Japan, Japan hana strong defence industrial base? Unavyosema hatengenezi silaha za maana unamaanisha nini? na unaposema kafungwa speed governor unamaanisha nini?
Achana na hao vijana, mahaba kwa urusi yamefunga fahamu zao.
 
Wewe kama shoga mmojawapo Wamarekani wanaendelea kukupa misaada mpaka leo. Na hapa unatumia simu yenye teknolojia yao, maana yake unakubali kuwa shoga ili upate mawasiliano.

Marekani ataendelea kutoa misaada kwa wanyonge siku zote ndio 'ushoga' wenyewe kwa watu wenye ufyatu wa akili. Ila kwa wenye akili Marekani ni superpower
Mchape na kofi
 
Ina maana hujui Ukraine ameshapigwa vibaya.Ama unasuburi uone kichwa cha Zelensky kimeng'olewa ndio uamini Ukraine kapigwa
project ya delimitalize imeshakamilika
Masaa 72 hadi miezi mitatu inaenda kumalizika bado kuna stalemate.

Ile USSR ndio ilikuwa kiboko lakini sio hawa wanaoogopa wapigana kwenye mvua eti mvua akianza kunyesha wanasema hawawezi kupigana hadi ikatike matokeo yake zana zote zinateketezwa.
 
Back
Top Bottom