Putin hakujifunza baada ya kilichomkuta Ukraine, ameamsha ugomvi mwingine na Japan

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Baada ya vita vya pili vya dunia, Urusi na Japan hawakutia saini mkataba wa kumaliza vita, ina maana mpaka leo hayo mataifa mawili yako vitani licha ya kuishi kwa amani, wamekua wakiongea na kuelewana kimsingi na kwa namna ya kusaini mkataba.
Sasa juzi Urusi imekwenda kuvamia nchi ya watu Ukraine, ambapo Japan ilitoa tamko la kulaani huo uvamizi, Urusi wakachukia hilo tamko na kusema wamejiondoa kutoka kwenye mazungumzo ya amani na Japan, maana kwamba muda wowote wanaweza kuliamsha amsha, makombora baina ya hayo mataifa mawili yanaweza kuchafua anga kisa visiwa ambavyo huwa vimekaliwa na Urusi kimabavu.
======================

Russia said it was withdrawing from negotiations with Japan aimed at signing a formal World War II peace treaty because of Tokyo's tough stance against Moscow's invasion of Ukraine.

"The Russian side, in the current conditions, does not intend to continue talks with Japan on the peace treaty," the Russian Foreign Ministry said in a statement on March 21.

Russia and Japan have never signed a peace treaty to formally end World War II.

One of the key issues is competing claims over territorial rights to the Kurile Islands, which Tokyo calls its Northern Territories. Soviet troops seized them from Japan at the end of the war, and Russia still occupies the island group.

Following Russia’s brutal invasion of Ukraine, the authorities in Tokyo voiced strong condemnation and have joined with Western partners in placing sanctions on Moscow.

The Russian Foreign Ministry said it broke off talks "due to the impossibility of discussing the core document on bilateral relations with a country that has taken an openly hostile position and is striving to cause harm to the interests of our country."

The statement also said Russia was ending a visa-free regime for Japanese people to visit the disputed islands. Many Japanese had traveled to the visit the graves of their ancestors.
 
Huyu Japan apunguze kisebengo kwanza hana ubavu wa kupigana na Urusi maana alifungwa speed governor na mme wake US.
Pili akianza pigana vita sisi tunaonunua gari used za dollar 1500, 2000 tutanunua wapi sasa.
Aache kisebengo asije tutia matatizoni aendelee tu kutufyatulia mitoyota Viete
 
Huyo Putin mnaamini anaweza akapigana na dunia yote na kushinda. Mapenzi haya.
 
Kwani hutaki au? Sasa kama nchi zoote za NATO wanapeleka silaha na fedha ukraine dhidi ya nchi moja tu ambayo ni Urusi, sasa kama wazungu wanalijua hili sasa wewe unaebisha ni kama nani ukiwa huko kijijini Diukizula? Hata huyo Us akizungumzia vita dhidi ya Urusi utamsikia akisema " we will retalliate aggressively against Russia with our allies with full strengh" unadhani kwanini hua anajifichia kwenye kichaka cha umoja wa kujihami wa nchi za magharibi? Urusi ni maji marefu hasa kwenye vita hata wakubwa zako wanalitambua hili we nenda kale tunda kimasihara.
 
Huyu Japan apunguze kisebengo kwanza hana ubavu wa kupigana na Urusi maana alifungwa speed governor na mme wake US.
Pili akianza pigana vita sisi tunaonunua gari used za dollar 1500, 2000 tutanunua wapi sasa.
Aache kisebengo asije tutia matatizoni aendelee tu kutufyatulia mitoyota Viete
Japan Fomular Zoote za silaha za Maangamizi Anazo na ziada!
Muulize mchina kitu mbaya alichofanyiwa na hirohito na kipigo alicho kipata Marekani Pear habour na kamikaze fighters[emoji24][emoji24]
 
That was then and this is now. Baada ya kumpiga Mmarekani nini kilimpata.
Japan, South Korea wote hawana silaha za maana kwasababu wako chini ya protection ya Marekani.
Kwasasa hata hawezi kabiliana na Mchina maana anamzidi nguvu kijeshi.
Japan wa vita ya pili ya dunia sio huyu mjapan soft soft
 
Marekani huyu!!! Tena kaenda kuwachonganisha Japan na Urusi wapigane ili aibe gesi na mafuta.
Marekani mbaya sana.
 
Huyu Japan apunguze kisebengo kwanza hana ubavu wa kupigana na Urusi maana alifungwa speed governor na mme wake US.
Pili akianza pigana vita sisi tunaonunua gari used za dollar 1500, 2000 tutanunua wapi sasa.
Aache kisebengo asije tutia matatizoni aendelee tu kutufyatulia mitoyota Viete
Waache wapigane tu Kipanya motors yupo.
 
Huyu Japan apunguze kisebengo kwanza hana ubavu wa kupigana na Urusi maana alifungwa speed governor na mme wake US.
Pili akianza pigana vita sisi tunaonunua gari used za dollar 1500, 2000 tutanunua wapi sasa.
Aache kisebengo asije tutia matatizoni aendelee tu kutufyatulia mitoyota Viete
Japan ilimtandika Urusi wako huyo mwaka 1905 na Rais wa Marekani akawa msuruhishi. Kasome Russo-Japanese war. Urusi mnamuona anajua vita kwa sababu anajua kupiga porojo, Japan historically washapigana vita nyingi mno tena zote za kuvamia wenyewe. Russia alipigana vita za kujitetea ambazo lazima ujitume la sivyo huna maisha, kama anavyofanya Ukraine.

Finland mwenyewe ashamkomalia USSR na akamshinda
 
Marekani huyu!!! Tena kaenda kuwachonganisha Japan na Urusi wapigane ili aibe gesi na mafuta.
Marekani mbaya sana.
Japan waibiwe gesi gani waliyonayo? Japan ukiachana na udongo na maji, sidhani kama wana rasilimali ya aina yoyote ile katika dunia hii. Hata top 100 nchi zenye rasilimali naamini hawapo ila top 10 kwenye uchumi wapo
 
Japan ilimtandika Urusi wako huyo mwaka 1905 na Rais wa Marekani akawa msuruhishi. Kasome Russo-Japanese war. Urusi mnamuona anajua vita kwa sababu anajua kupiga porojo, Japan historically washapigana vita nyingi mno tena zote za kuvamia wenyewe. Russia alipigana vita za kujitetea ambazo lazima ujitume la sivyo huna maisha, kama anavyofanya Ukraine.

Finland mwenyewe ashamkomalia USSR na akamshinda
Narudia tena kukwambia kuwa Japan huyu wa baada ya vita ya pili ya dunia siyo Japan wa enzi zile.
Huyu kafungwa speed governor hata hatengenezi silaha za maana kwa ahadi ya kulindwa na US. Japan wa vita ya pili ya dunia alikuwa wa moto hata US alichezea sana na alikuwa hasalimu amri mpaka alipopigwa ma atomic, japo taarifa ni kwamba alikuwa ashaamua kusurrender na US alikuwa tayari ana taarifa ila kwakuwa US ni vichaa bado wakadondosha nukes.
Huyu Japan wa sasa hata mchina anamwogopesha
 
Toa habari ya uhakika chuki zako na Russia usiziweke kwenye Uzi unaoandika umekuwa kama kimbelembele falni Russia ilijitoa toka mwanzo japani ilivyoanza kuweka vikwazo Kwa benk za urusi tunasaini vipi makubaliano wakati unaniweke vikwazo izo akili au utoto
 
Huyu Japan apunguze kisebengo kwanza hana ubavu wa kupigana na Urusi maana alifungwa speed governor na mme wake US.
Pili akianza pigana vita sisi tunaonunua gari used za dollar 1500, 2000 tutanunua wapi sasa.
Aache kisebengo asije tutia matatizoni aendelee tu kutufyatulia mitoyota Viete

Haya mahaba yanapotosha, hivi unajua Japan inaizidi Ukraine kijeshi kwa mbali sana, hiyo Ukraine ambayo imemtoza makamasi Urusi, bajeti ya kijeshi ya Japan ni $50.3b huku ya Ukraine ikiwa $5.4b na Urusi $69b, Japan wana hadi aircraft carrier.
Urusi kwa sasa hivi ameyumbishwa, akiguswa kidogo anadondoka, sema alichosalia nacho ni manyuklia tu, ndio yanasababisha asipokee kipodo.
Limsafara lake kwenda Ukraine lililiwa lote.
 
Haya mahaba yanapotosha, hivi unajua Japan inaizidi Ukraine kijeshi kwa mbali sana, hiyo Ukraine ambayo imemtoza makamasi Urusi, bajeti ya kijeshi ya Japan ni $50.3b huku ya Ukraine ikiwa $5.4b na Urusi $69b, Japan wana hadi aircraft carrier.
Urusi kwa sasa hivi ameyumbishwa, akiguswa kidogo anadondoka, sema alichosalia nacho ni manyuklia tu, ndio yanasababisha asipokee kipodo.
Limsafara lake kwenda Ukraine liliwa lote.
Japan kwanza ndo inasemekana wanafikiria kuunda nukes. Ushawahi kusikia ametest silaha zozote za maana? Yeye na South Korea US anawalaghai japo sasa wote wawili wameanza kuwaza upya juu ya umiliki wa silaha kama ilivyo kwa mahasimu wao.
 
Back
Top Bottom