Putin katelekeza wanajeshi wake toka vita ianze miezi 8 sasa hajawahi watembelea askari wake walio msitari wa mbele Ukraine

Putin katelekeza wanajeshi wake toka vita ianze miezi 8 sasa hajawahi watembelea askari wake walio msitari wa mbele Ukraine

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Posts
36,902
Reaction score
52,001
Vita ikilipuka amiri Jeshi mkuu huwa ana kawaida kuwatembelea wapiganaji walio msitari wa mbele vitani kuongea nao na kuwatia moyo na kuwasikiliza

Raisi Zelensnkyy wa Ukraine amekuwa akiwatembelea mara kwa mara Askari wake walio mstari wa mbele na kupokelewa kwa shangwe na Askari wake

Putin katelekeza wanajeshi wake toka vita ianze miezi 8 sasa hajawahi watembelea askari wake walio msitari wa mbele hata kukanyaga tu maeneo ambayo Urusi inasema imeyateka yako mikononi mwao.Putin hajawahi kanyaga msitari wa mbele uwanja wa vita.Katelekeza watoto wa watu vitani yeye anakula kuku kwa mrija Kremlin akiangalia vita kwenye Television vijana wake wakitwangwa na makombora ya Himars

Putin ni Amiri .jeshi mkuu wa ajabu kuliko wote.Yeye anaogopa kwenda halafu anasokomeza watoto wa wenzie waende.Au hajiamini na hawaamini wanajeshi wake kuwa akienda aweza asirudi ?
 
... hakuna majitu maoga kufa kama madikteta! Yako tayari kuwaswaga wenzie kwenye kifo ila yenyewe yanakiogopa balaa. Mara nyingi visingizio vinavyotumika ni uzalendo, kuilinda nchi, etc. Sawa, kuilinda nchi iwe kwa sababu za kueleweka na sio za kijinga.
 
Back
Top Bottom