Putin kuwania tena Urais kwa mara ya 5 mwaka 2024

Ni ccm nyingine ndani ya Russia na Russia hakuna kitu kinachoitwa uchaguzi ila ni maigizo tu yanafanyika.

Uchaguzi ni Marekani na ni uchaguzi unaosimamisha dunia nzima na ni uchaguzi ambao ndio tukio la pili linalotizamwa na watu wengi duniani baada ya kombe la dunia.

Hayo ya kusema eti Russia pia kuna uchaguzi ni kuchanganyikiwa kwani siku hiyo wanayosema ni ya uchaguzi Russia hata warussia wengine tu hawatajua kwamba kuna uchaguzi nchini mwao na wataendelea na shughuli zao kama kawaida na kumuachia dikteta Putin afanye uhuni wake. Bure kabisa.
Pole kijana
Hamia marekani kwenye uchaguzi
 
Usiwapangie Russia namna ya kuendesha nchi yao
Wewe njoo tukomae huku nchi ya kusadikika miaka 60 tunahamasishana wananchi kuwa na vyoo sasa hayo ya warusi tutayaweza kweli
Ni ccm nyingine ndani ya Russia na Russia hakuna kitu kinachoitwa uchaguzi ila ni maigizo tu yanafanyika.

Uchaguzi ni Marekani na ni uchaguzi unaosimamisha dunia nzima na ni uchaguzi ambao ndio tukio la pili linalotizamwa na watu wengi duniani baada ya kombe la dunia.

Hayo ya kusema eti Russia pia kuna uchaguzi ni kuchanganyikiwa kwani siku hiyo wanayosema ni ya uchaguzi Russia hata warussia wengine tu hawatajua kwamba kuna uchaguzi nchini mwao na wataendelea na shughuli zao kama kawaida na kumuachia dikteta Putin afanye uhuni wake. Bure kabisa.
 
Vichekesho na masikhara hivi Urusi nako bado kuna uchaguzi au maigizo ya uchaguzi!! Wkt washindani na wakosoaji wa Putin wote wamefungwa, wamekimbia nchi, wameuwawa au wamepewa sumu.
Vibaraka lazma wafungwe wateswe na wasiwe na amani
Kama mnawaonea huruma kawaokoeni ama kawaombeeni
 
Ni ccm nyingine ndani ya Russia na Russia hakuna kitu kinachoitwa uchaguzi ila ni maigizo tu yanafanyika.

Uchaguzi ni Marekani na ni uchaguzi unaosimamisha dunia nzima na ni uchaguzi ambao ndio tukio la pili linalotizamwa na watu wengi duniani baada ya kombe la dunia.

Hayo ya kusema eti Russia pia kuna uchaguzi ni kuchanganyikiwa kwani siku hiyo wanayosema ni ya uchaguzi Russia hata warussia wengine tu hawatajua kwamba kuna uchaguzi nchini mwao na wataendelea na shughuli zao kama kawaida na kumuachia dikteta Putin afanye uhuni wake. Bure kabisa.
Yaani! Mpinzani mwenyewe ndo kwanza anatumikia miaka 30 jela! Hakuna tofauti na Rwanda kwa PK

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni ccm nyingine ndani ya Russia na Russia hakuna kitu kinachoitwa uchaguzi ila ni maigizo tu yanafanyika.

Uchaguzi ni Marekani na ni uchaguzi unaosimamisha dunia nzima na ni uchaguzi ambao ndio tukio la pili linalotizamwa na watu wengi duniani baada ya kombe la dunia.

Hayo ya kusema eti Russia pia kuna uchaguzi ni kuchanganyikiwa kwani siku hiyo wanayosema ni ya uchaguzi Russia hata warussia wengine tu hawatajua kwamba kuna uchaguzi nchini mwao na wataendelea na shughuli zao kama kawaida na kumuachia dikteta Putin afanye uhuni wake. Bure kabisa.
Bila ya shaka ww ni Shoga au Mtetezi wao....
 
Kiongozi huyo aliyetawala tangu mwaka 2000 akichukua madaraka kutoka kwa Boris Yeltsin ametangaza nia yake leo Desemba 8, 2023 huku akidai ana uhakika wa kushinda Urais kwa zaidi ya 80% ya Kura.

Mwaka 2020, Serikali ya Putin mwenye umri wa miaka 71 ilifanya mabadiliko ya kuondoa ukomo wa mihula ya Urais ambapo sasa inampa nafasi kutawala taifa hilo hadi mwaka 2036 kama atashinda Uchaguzi wa mwaka 2024.

Tangazo hilo linakuja wakati ambapo mpinzani wake mkuu, Alexei Navalny ambaye yuko Gerezani ambako anatumikia kifungo cha miaka 30, akikabiliwa tena mashtaka mapya.

===========

Russian President Vladimir Putin has announced that he will run in the 2024 presidential election.

Putin announced his decision to seek to extend his rule on Friday. He is almost certain to win a fifth term as president, allowing him to continue leading Russia’s invasion of neighbouring Ukraine.

If elected, the 71-year-old will extend his 24-year leadership of Russia, albeit with an eight-year stint spent formally as prime minister. His tenure is now the longest of any ruler of Russia since Josef Stalin.

The decision comes as little surprise, with Russia’s military campaign in Ukraine seen as having boosted patriotic support for the president.

Putin announced his plan at an awards ceremony at which he presented veterans of the war with Russia’s highest military honour, state-run news agencies reported.

State media reported that one recipient of the Hero of Russia gold star, a lieutenant colonel named Artyom Zhoga, had asked the president to run again.

“He will run,” the soldier told reporters afterwards.

Earlier, Kremlin spokesperson Dmitry Peskov had said that many people have urged Putin to run.

Russia’s Federation Council upper house approved on Thursday a date of March 17 for the vote.

Opposition politicians have cast the election as one that threatens democracy amid claims that Putin has tunred Russia into a corrupt dictatorship.

AL JAZEERA
Anafaa.hamuoni kichwa kimoja cha putin ni sawa sawa na uunganishe vichwa vyote vya NATO.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Ni ccm nyingine ndani ya Russia na Russia hakuna kitu kinachoitwa uchaguzi ila ni maigizo tu yanafanyika.

Uchaguzi ni Marekani na ni uchaguzi unaosimamisha dunia nzima na ni uchaguzi ambao ndio tukio la pili linalotizamwa na watu wengi duniani baada ya kombe la dunia.

Hayo ya kusema eti Russia pia kuna uchaguzi ni kuchanganyikiwa kwani siku hiyo wanayosema ni ya uchaguzi Russia hata warussia wengine tu hawatajua kwamba kuna uchaguzi nchini mwao na wataendelea na shughuli zao kama kawaida na kumuachia dikteta Putin afanye uhuni wake. Bure kabisa.
Ni wajinga mnaodanganywa kuwa kuna demokrasia.

Back
Top Bottom