Kingsharon92
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 7,843
- 10,321
Mbona sikuelewi wewe umesemaje hebu rudia tena kusomaUnaelewa maana ya "kwa miaka mingi"?
Na hata ningesema sikuwahi kusikia bado ni sahihi tu, maana si lazima kila mtu awe kazaliwa enzi za Nyerere huko
Sent using Jamii Forums mobile app