Putin kuwania tena Urais kwa mara ya 5 mwaka 2024

Pole kijana
Hamia marekani kwenye uchaguzi
 
Usiwapangie Russia namna ya kuendesha nchi yao
Wewe njoo tukomae huku nchi ya kusadikika miaka 60 tunahamasishana wananchi kuwa na vyoo sasa hayo ya warusi tutayaweza kweli
 
Vichekesho na masikhara hivi Urusi nako bado kuna uchaguzi au maigizo ya uchaguzi!! Wkt washindani na wakosoaji wa Putin wote wamefungwa, wamekimbia nchi, wameuwawa au wamepewa sumu.
Vibaraka lazma wafungwe wateswe na wasiwe na amani
Kama mnawaonea huruma kawaokoeni ama kawaombeeni
 
Yaani! Mpinzani mwenyewe ndo kwanza anatumikia miaka 30 jela! Hakuna tofauti na Rwanda kwa PK

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila ya shaka ww ni Shoga au Mtetezi wao....
 
Anafaa.hamuoni kichwa kimoja cha putin ni sawa sawa na uunganishe vichwa vyote vya NATO.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Ni wajinga mnaodanganywa kuwa kuna demokrasia.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…