Putin kuwania tena Urais kwa mara ya 5 mwaka 2024

Ujue kuna watu wanataka kila nchi ifuate wanavyotaka wao ukienda kinyume unaitwa kila aina ya majina
Nandio watu wa jf hapa walivyo karirishwa yaani
Wanataka Russia aende kama anavyoenda us
Hawajui kama Russia ni giant anaenda anavyoona yeye inafaa nakwamaslahi yake
Ila watetezi wa haki za binaadam hapa jf wanaona Russia wanakosea
Wakat wao nademokrasia yao hata kama Russia itasimama hapo hapo ilipo isipige hatua yeyote ya maendeleo itawachukua karne saba ama kumi kuwakaribia sio kuwafikia
 
Russia ni taifa kongwe kuliko hao majambazi america
Russia kufikia hapo walipo wamepitia mengi sana ambayo america hajayapitia
 
Kaguta napata mfano mwingine wa kumfanya asiondoke madarakani.Huyu Putin nimewahimsikia aliwahi kuwa waziri mkuu pia
 

Anastahili aisee huyo Mwamba Ana strategy za kutosha
 
Wawe na adabu kwa kuacha kukashifu watu wasiowafahamu kwa kuwaita mashoga. Umuite shoga mtu anayemfahamu kwamba ni shoga.
Pole kijana
Unadhani uislam ndio unaokuita wewe shoga kijana
Siungi mkono wanaokuita hvyo ila sio sababu yakuutukana uislam
Ila pole sana kijana
 
Huyo siyo mpinzani ni purpet tu
Katika himaya yoyote ya kidikteta kila mpinzani mwenye nguvu huhusishwa na ukibaraka.

Kwahiyo wakati mnapozungumzia propaganda za magharibi (mnaopenda hii blah blah) mkumbuke pia hii nayo ni propaganda nyingine katika siasa, ni propaganda itumiwayo na hao madikteta.

Mfano Tz miaka mingi tumeishi bila kusikia habari za vibaraka, ila awamu iliyopita kwa udikteta uchwara ikawamezesha watz wavivu wa kufikiri kuwa wapinzani ni puppets. Na ajabu mitanzania mingi ikaamini! Hiyo ikatoa fursa kwa udhalimu kutawala na wapinzani kupokea mateso ya kila namna huku majority ya wananchi ikiamini kuwa ni halali yao kunyanyasika kwakuwa wanatuhujumu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Navalny ananguvu gani mbele ya rais wa dunia PUT IN
Yaani hako kakibaraka ukikaeka kwa PUT IN kanaelea elea tu hakipati hata 5% ya PUT IN
Navalny kaishajulikanika kama kibaraka nandio maana anapigwa sana spana za utosi
Unadhani asingekua wakwao wamagharibi wangetumia nguvu wanazotumia kumlinda
Navalny na Gorbachev baba mmoja mama mmoja tena Navalny kamzidi Gorbachev kwa ukibaraka
 
Umezaliwa mwaka gani mpaka useme hukuwahi kusikia vibaraka tz?
Kambona aliitwa kibaraka na Nyerere
 
Ni mpinzani yupi sasa asiye kibaraka hapo Russia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…