Putin; Maadui zetu mjifikirie mara mbili kwa hili bomu

Mambo mengine inabidi ucheke tu,kwani yeue pe ake ndo anazo hizo silaha! Alafu ulaya nchi nyingi za Nato zina silaha kali kama yeye au kupita.Asihangaike na mmarekani na m canada,Asisahau mjerumani hayupo mbali nae,na hawa wajerumani waliitoka dunia makamasi mara 2(vita kuu ya kwanza ya dunia na wa pili), Wana uwezo mkubwa wakitaka lao,hapo sijamuingiza muingereza na mfaransa ambao pamoja na udogo wao walishawahi kutawala karibu nusu ya dunia mpaka leo hii wameacha influence zao ulimwenguni,hao ni wachache tu.Sasa acha putin ajitoe akili ndo atajua kuwa dunia duara.
 
Kinachompa jeuri sababu yeye kila silaha lazima aitangaze? Anaamini nchi kama UK, German hawana hivyo vyombo? Usikute vya wenzake ni imara zaidi, maana hata kikawaida tu, bidhaa za ulaya ni jiwe haswa kuliko za asia.
 
Uk na German sahv wamekua tepe tepe.
Hao enzi zao zilikua za BERLIN CONFERENCE na scramble for AFRICA.

sahv wamebaki na legacy TU[emoji4]
 
Sasa hivi wanalindwa na Marekani. Wamegeuka wanawake watiifu kwa mume wao. Marekani

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Uk na German sahv wamekua tepe tepe.
Hao enzi zao zilikua za BERLIN CONFERENCE na scramble for AFRICA.

sahv wamebaki na legacy TU[emoji4]
Technology ndo nnachoongelea sio suit na nguo za kinamama kutoka uturuki.Technology wanaianzisha mataifa ya magharibi wengine ndo wanakuja kuiendeleza,nchi unazoziita tepe tepe ndo zina utajir kuliko hizo unazoziamin.
 
Kinachompa jeuri sababu yeye kila silaha lazima aitangaze? Anaamini nchi kama UK, German hawana hivyo vyombo? Usikute vya wenzake ni imara zaidi, maana hata kikawaida tu, bidhaa za ulaya ni jiwe haswa kuliko za asia.
Huyo Muingereza alijambishwa na muirani tuu. Meli aliyoiteka kwa mbwembwe aliiachia kimya kimya kwa aibu

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Huwezi kufananisha uturuki na ujeruman au uingereza,ni vitu viwili tofauti. Nchi nilizotaja zinabuni na kutengeneza mifumo ya silaha zinazoongoza duniani,uturuki ana nin!? Zaid ananunua silaha kwa nchi zote hizo na urusi.
[emoji28][emoji28][emoji28] kasome vizuri. Au labda umeathirika na nabii Tito

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Hao jamaa wanamsoma tu.
Hamna vita hapo, ndo mana wanamwachia muikraina amalizane nao wao wanampa kila kitu.
Mbinu ya kidiplomasia.
Ikifika wanaenda huko ni kwamba kuna mtu anaondoka.
Hata afanyeje.
Wakiamua kesho tu shughuli imeisha.
Na hawapo mbali wanamsoma tu.
Kabla hata ya vita hiyo EU na NATO
Hawamkubali kabisa Mrusi.
Mpk sasa ni Finland tu wataanzia wakitoka huko.
Ndio pale km vita ya 3 itazimwa pale na wote.
 
Linapoongelewa suala la nuclear power na Kuitaja ujerumani imeonyesha huna taarifa zaidi.

Hebu pitia picha hapo ujipe maarifa angalia idadi kwa upande wa Russia vs angalia idadi kwa hizo nchi ulizozitaja.
 
Unafikiri kwa nini mpaka sasa hawajaamua kwenda vitani against Russia? Hollywood movies zisikudanganye NATO wanajua uwezo wa kijeshi wa Russia kuliko mimi na wewe tunaosoma taarifa biased mitandaoni.
 
Linapoongelewa suala la nuclear power na Kuitaja ujerumani imeonyesha huna taarifa zaidi.

Hebu pitia picha hapo ujipe maarifa angalia idadi kwa upande wa Russia vs angalia idadi kwa hizo nchi ulizozitaja.View attachment 2194903
Haya ni makisio tu ya kuuza majarida. Hakuna mtu anayejua nani ana nini mpaka siku akitokea mwendawazimu akalianzisha. Technology ipo juu sana, na ukiona kimya ni kwa vile kila mmoja anamuhofia mwenzake. URUSI naye ana hofu pia ndo maana anaonyesha kuwa ana silaha kali na kuitangazia dunia kama yule wa North Korea. Unaweza sema Ujerumani hana kitu halafu akawa ndo chanzo cha kufuta maisha duniani, unaweza fikiri China ni wa tatu kumbe ana silaha mix ya nuclear na biological ambayo akizipiga ni mwisho wa dunia kama tuijuavyo. Sisi tunashabikia tu ila litakapoanza tunaweza tusiwe na nafasi tena ya kufanya tathimini ya nani ni mbabe.

Embu fikiria tu silaha kama za kusambaza kirusi ambacho ni cha hewa kinachoua ndani ya dakika bomu likapigwa? Litaishia huko lilipopigwa tu?
 
Huyu jamaa udictetor ndio unamsumbua,ukiwa dictator huojiwi ,unaogopwa kama Mungu ,hivyo anafikiri mikwara ya nyumbani mwake itawashtua magwiji wengine ,ila kwa mkwara nampa namba moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…