Putin; Maadui zetu mjifikirie mara mbili kwa hili bomu

Putin; Maadui zetu mjifikirie mara mbili kwa hili bomu

Kwa kiingereza wewe unaitwa "Ignorant" kwa sababu wewe ni mjinga.

Hizo Nuclear Warheads unazoona anazo huyo mrusi nyingi ni "Tactical Nuclear Warheads" ambazo range zake ni 300-400 miles halafu hazina madhara makubwa sana na ndio maana kazirundika nyingi kwa sababu gharama zake sio kubwa sana.

Hata yale mataifa ya Asia yenye silaha hizo nyingi zao pia ni hizo "Tactical Nuclear Warheads."

Hakuna anayeweza kuanzisha vita vya nyuklia kisha eti akabaki mshindi, nothing like that. Hivyo Putin anapiga kelele tu za bure na ndio maana anaonekana chizi.
The last paragraph makes sense
 
🤣🤣🤣 Mariupol is gone,be patient lad.
 
Linapoongelewa suala la nuclear power na Kuitaja ujerumani imeonyesha huna taarifa zaidi.

Hebu pitia picha hapo ujipe maarifa angalia idadi kwa upande wa Russia vs angalia idadi kwa hizo nchi ulizozitaja.View attachment 2194903
Germany,South Korea na Japan kwa Technology walizonazo wanaweza kutengeneza Bomu la nuclear ndani ya miezi mitatu tuu.
 
Germany,South Korea na Japan kwa Technology walizonazo wanaweza kutengeneza Bomu la nuclear ndani ya miezi mitatu tuu.
Acha uongo S.korea hana kinu hata kimoja cha nyukilia labda kwa Japan na penyewe kwa miezi 3 umetufunga kamba.
 
Kwa kiingereza wewe unaitwa "Ignorant" kwa sababu wewe ni mjinga.

Hizo Nuclear Warheads unazoona anazo huyo mrusi nyingi ni "Tactical Nuclear Warheads" ambazo range zake ni 300-400 miles halafu hazina madhara makubwa sana na ndio maana kazirundika nyingi kwa sababu gharama zake sio kubwa sana.

Hata yale mataifa ya Asia yenye silaha hizo nyingi zao pia ni hizo "Tactical Nuclear Warheads."

Hakuna anayeweza kuanzisha vita vya nyuklia kisha eti akabaki mshindi, nothing like that. Hivyo Putin anapiga kelele tu za bure na ndio maana anaonekana chizi.

Kwa hiyo Russia na nchi za Asia zina Tactical nuclear warheads ambazo "hazina madhara makubwa" alafu nchi za NATO ndio zenye Nuclear zenye madhara makubwa.

Data hapo zinaonyesha US nae kalundika 5,600, vp za kwake ni long range na zina madhara makubwa?

Kabla sijakuingiza kwenye kundi la wajinga nikupe mda wa kujitetea kuleta sources/evidences kusapoti hicho unachosema.
 
Jamaa ana-behave kama Kim Jong Un!! Ajabu na kweli. Asisahau kuwa watu wa kwanza kutengeneza nuclear bombs ni Wamarekani. Haya mabomu yake atushie sisi Wamatumbi tu ambao hatuna kitu.
Mambo mengine inabidi ucheke tu,kwani yeue pe ake ndo anazo hizo silaha! Alafu ulaya nchi nyingi za Nato zina silaha kali kama yeye au kupita.Asihangaike na mmarekani na m canada,Asisahau mjerumani hayupo mbali nae,na hawa wajerumani waliitoka dunia makamasi mara 2(vita kuu ya kwanza ya dunia na wa pili), Wana uwezo mkubwa wakitaka lao,hapo sijamuingiza muingereza na mfaransa ambao pamoja na udogo wao walishawahi kutawala karibu nusu ya dunia mpaka leo hii wameacha influence zao ulimwenguni,hao ni wachache tu.Sasa acha putin ajitoe akili ndo atajua kuwa dunia duara.
 
mzee unadhani kwa nini bado hawajatengeneza?
Walishiti, waliona ni ujinga kwani kwao waliona kuna mambo mengi tu ya kufanya yenye tija.

Wao waliathirika sana kwenye WW II na hawakuona faida yake na baada ya kuachana na zile "Belligerent Notions" ndio leo unaona walipo kiuchumi.

They saw that, it's better to leave it to those to whom war is a profession.
 
Back
Top Bottom