Mambo mengine inabidi ucheke tu,kwani yeue pe ake ndo anazo hizo silaha! Alafu ulaya nchi nyingi za Nato zina silaha kali kama yeye au kupita.Asihangaike na mmarekani na m canada,Asisahau mjerumani hayupo mbali nae,na hawa wajerumani waliitoka dunia makamasi mara 2(vita kuu ya kwanza ya dunia na wa pili), Wana uwezo mkubwa wakitaka lao,hapo sijamuingiza muingereza na mfaransa ambao pamoja na udogo wao walishawahi kutawala karibu nusu ya dunia mpaka leo hii wameacha influence zao ulimwenguni,hao ni wachache tu.Sasa acha putin ajitoe akili ndo atajua kuwa dunia duara.