DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Tangu Hitler afariki,Germany toa, nchi ya jumuiya ya ulaya yenye budget kubwa ya jeshi na anayeongoza kwa kuunda vitu ni France ambaye budget yake ni nusu ya budget ya mrusi katika mambo ya kijeshi.
Ujerumani ana tech nyingine zaidi sio mambo ya kijeshi maana alifungwa speed governor.
German walifilisika Sana kijeshi,
Na kingine ujue mpaka Leo hii ujerumani bado analipa madeni ya kivita kwa hasara alizosababisha HITLER nchi nyingi Sana ulaya nzima.
Kujijenga kijeshi ujerumani atahitaji muda sana