Putin; Maadui zetu mjifikirie mara mbili kwa hili bomu

Putin; Maadui zetu mjifikirie mara mbili kwa hili bomu

[emoji1787][emoji1787][emoji1787],nini kinaendelea kule kwa 'Live' maana nilishachoka hata kufuatilia tena,bado ni maneno mengi matupu au Putin keshamaliza kazi
Ametest sijui bomu linaitwaje hata sielewi tena na mimi 😃. Nasubiria Tangazo la kumaliza kazi yake tu.
 
Ametest sijui bomu linaitwaje hata sielewi tena na mimi [emoji2]. Nasubiria Tangazo la kumaliza kazi yake tu.
Hizo ni ngonjera na makelele mengi ya wafuasi wake,kama hajamaliza kazi,ngoja tuendelee kusubiri subiri tukiwa mitaa mingine[emoji3]
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Ila ukweli ni kwamba mwanadamu atatamba wee na hii misilaha alizo nazo lakini mwisho wa siku hakuna mwanadamu ambaye kwa hizo akili zake ambazo, kwa Mungu ndio ujinga wake wa mwisho, atakayeweza kuharibu dunia aliyoumba Mwenyezi Mungu kwa makusudi yake.

Tusahau kabisa kwa sababu maandiko hayaongopi. Maandiko yametuambia hadi mwisho wa dunia itakavyokuwa na hatujaona mambo ya sijui nyuklia wala cha Hypersonic Missiles kwamba ndizo zitakazo haribu dunia.

Hawa akina Putin kwa Mungu ni takataka tu kwani anaweza akatamba sana lakini kesho wala asiamke tena kitandani na ikawa ndio mwisho wake.
 
Huwezi kufananisha uturuki na ujeruman au uingereza,ni vitu viwili tofauti. Nchi nilizotaja zinabuni na kutengeneza mifumo ya silaha zinazoongoza duniani,uturuki ana nin!? Zaid ananunua silaha kwa nchi zote hizo na urusi.
Acha kuishi miaka ya 50, Uturuki ni Nchi ya pili kwa Nguvu NATO baada ya US.

Na Drone za Uturuki zinagombaniwa Duniani Kote, vita yenyewe ya Ukraine Zimetumika sana Tu tena kwa mafanikio makubwa
 
Mambo mengine inabidi ucheke tu,kwani yeue pe ake ndo anazo hizo silaha! Alafu ulaya nchi nyingi za Nato zina silaha kali kama yeye au kupita.Asihangaike na mmarekani na m canada,Asisahau mjerumani hayupo mbali nae,na hawa wajerumani waliitoka dunia makamasi mara 2(vita kuu ya kwanza ya dunia na wa pili), Wana uwezo mkubwa wakitaka lao,hapo sijamuingiza muingereza na mfaransa ambao pamoja na udogo wao walishawahi kutawala karibu nusu ya dunia mpaka leo hii wameacha influence zao ulimwenguni,hao ni wachache tu.Sasa acha putin ajitoe akili ndo atajua kuwa dunia duara.
Hakuna vita ya kutumia ICBM kwa sasa hivyo ni vitisho tu.
 
Inaonekana hujui hata race ya silaha duniani inavyoendelea 😂😂😂 Yaani unaanza kuifananisha urusi na nchi za NATO kama ujerumani! Wakati Marekani wenyewe juzi wameungana na NATO kufanya utafiti wa kupata silaha za hypersonic... ambazo zina kasi kuliko silaha zozote duniani, na ni mrusi tu ndo anazo. Hilo bomu jipya unaona hapo ambalo ni uboreshwaji wa bomu ambalo nchi za magharibi waliliita "Satan"..ni balaa kwa uharibifu ndo maana wakaliita shetani. Kama urusi ingekuwa nyepesi, inakuaje nchi zaidi za 30 za NATO wanashindwa kuipiga nchi moja. Ficha ujinga wako basi master
 
Kwa kiingereza wewe unaitwa "Ignorant" kwa sababu wewe ni mjinga.

Hizo Nuclear Warheads unazoona anazo huyo mrusi nyingi ni "Tactical Nuclear Warheads" ambazo range zake ni 300-400 miles halafu hazina madhara makubwa sana na ndio maana kazirundika nyingi kwa sababu gharama zake sio kubwa sana.

Hata yale mataifa ya Asia yenye silaha hizo nyingi zao pia ni hizo "Tactical Nuclear Warheads."

Hakuna anayeweza kuanzisha vita vya nyuklia kisha eti akabaki mshindi, nothing like that. Hivyo Putin anapiga kelele tu za bure na ndio maana anaonekana chizi.
Alisikika mlevi mmoja akisema.

Unadhani ingekuwa hivyo usemavyo kungekuwa na NATO? Hizo nchi za ulaya zingegeuzwa makoloni ya America? Leo mataifa ya ulaya yanamnyenyekea mmarekani ili tuu awalinde na Russia. Mataifa yote ya ulaya yakiungana hayana uwezo wa kusimama na mrusi.

Huyo mmarekani mwenyewe huko Ukraine hajathubutu kupeleka jeshi lake kwakujua nini kitatokea. Pamoja na Russia kuwakaribisha. Pamoja na kujaza kambi zake ulaya yote,Asia,mashariki ya kati lakini kila siku anatangaza hataki kukabiliana na Russia moja kwa moja. Unadhani kwa nini?

Jiulize Marekani alipoingia Syria,akataka kumuondoa Asad na hata Asadi alipoona kazidiwa akaomba wakae mezani,Marekani akagoma. Alipoingia Mrusi alikomboa maeneo karibu yote yaliyotekwa. Na Asad bado yupo madarakani. Marekani ndio anaomba mazungumzo. Na hilo bomba alilotaka kulipitisha hapo Syria halijapita, unajua kwanini?

Umejiuliza marekani alipotaka kumuondoa Maduro. Akishirikiana na baadhi ya majirani wa Venezuela. Wakamtangaza Raisi wao wanayemtaka. Nini kiliwashinda?
Jibu ni rahisi tuu. Russia.

Au unaweza kutuonesha vita gani kwa miaka ya karibuni Marekani kapigana akiwa peke yake!? Lazima ashirikiane na mataifa zaidi ya 20. Lakini Russia akipigana anapigana na ulaya yote. Marekani na Canada. Hebu fuatilia huko Ukraine utaelewa Russia ni nani.

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
The last paragraph makes sense
Usijidanganye. Kwa teknolojia ilipofikia,ukiwahiwa unaangwamizwa na hata nafasi ya kujibu hutoipata. Ndio sababu wenyewe wanajihami kwakuweka mifumo ya kujiendesha yenyewe kujibu mashambulizi pale watakapokuwa wamewahiwa. Lakini hata hiyo mifumo sio yakuamini,kwani majasusi wanaweza wakawa waeshaijam. Halafu wakakutandika.

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Russia successfully tested the Sarmat intercontinental ballistic missile (ICBM) with President Vladimir Putin boasting the nuclear-capable projectile will make Moscow’s enemies “think twice”.

View attachment 2194754
Putib is a big looser, wiki iliyopita alisema marekani ikiisaidia Ukraine itapiga kombora (nuclear) kwenye moyo wa nchi za ulaya., lakini toka siku aliyosema maneno yale naona US wamezidi wamezidi kumimina silaha Ukrean kwa matani zaidi ndege nying lakini pamoja na mafunzo ya kutumia hizo silaha kwa askari ya Ukrean wakiwa nje ya Ukraine ili wakamtie mtu moto., na hajafanya chochote ni ndaroo tu Putin wa mchongo
 
Walishiti, waliona ni ujinga kwani kwao waliona kuna mambo mengi tu ya kufanya yenye tija.

Wao waliathirika sana kwenye WW II na hawakuona faida yake na baada ya kuachana na zile "Belligerent Notions" ndio leo unaona walipo kiuchumi.

They saw that, it's better to leave it to those to whom war is a profession.
Kwa dunia ya sasa,nchi inayoheshimika,ni yenye kumiliki silaha za nyuklia. Ndio maana Marekani anahaha kuzuia wengine wasipate maana ubabe wake utafikia ukingoni

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Ila ukweli ni kwamba mwanadamu atatamba wee na hii misilaha alizo nazo lakini mwisho wa siku hakuna mwanadamu ambaye kwa hizo akili zake ambazo, kwa Mungu ndio ujinga wake wa mwisho, atakayeweza kuharibu dunia aliyoumba Mwenyezi Mungu kwa makusudi yake.

Tusahau kabisa kwa sababu maandiko hayaongopi. Maandiko yametuambia hadi mwisho wa dunia itakavyokuwa na hatujaona mambo ya sijui nyuklia wala cha Hypersonic Missiles kwamba ndizo zitakazo haribu dunia.

Hawa akina Putin kwa Mungu ni takataka tu kwani anaweza akatamba sana lakini kesho wala asiamke tena kitandani na ikawa ndio mwisho wake.
Umeandika kinyoooonge.
Kwa kukata tamaa

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Technology ndo nnachoongelea sio suit na nguo za kinamama kutoka uturuki.Technology wanaianzisha mataifa ya magharibi wengine ndo wanakuja kuiendeleza,nchi unazoziita tepe tepe ndo zina utajir kuliko hizo unazoziamin.
Uingereza na ujerumani walikwisha firisika tangu enzi za WW2.

Nowdays wamegeuka walamba viatu vya yule aliyejipa cheo feki Cha kiranja wa Dunia[emoji4]
 
Wenye uwezo kweli kweli huwa hawapigi mayowe kiasi hiki,ni sawa na maskini aliyebahatisha 10M na kuanza kuzihesabu hadharani wakati wenye nazo wanamtazama tu anavyohangaika hata kuzihesabu.
Kwakweli uko sahii kabisa.
Russia wanapesa Sana ndo maana Yuko kimya, na hata hizo sunctions ndo maana hazimsumbui.

TRUMP aliwaambia G7 na G20 kwamba kutokumjumuisha Russia iko kisiasa zaidi kuliko uhalisia hali ya uchumi ilivyo.

China mwenyewe alishakataa Mara kibao kuingia G7 maana Ni Kama showoff's afu hamna faida yoyote anapata[emoji16]
 
Back
Top Bottom