Putin; Maadui zetu mjifikirie mara mbili kwa hili bomu

Unatuletea mambo ya history hapa wakati jambo lipo na linatokea muda huu hapa ukisema hivyo na sisi tutakurudisha dola ya rumi hakuna dola lilitawala milele the rest is history
 
Sio wajinga kiasi hicho mtu anakuonesha rungu na AK 47 iko ndani au anakuambia specifications fake za uwezo wa kombora lake ili usijue ukweli lkn pia yale maonesho ya siraha ni taarifa kwa wananchi una ulimwengu kuwa hatujalala bali tumefikia hapa
Siraha = Silaha.
 
Tangu Hitler afariki,
German walifilisika Sana kijeshi,

Na kingine ujue mpaka Leo hii ujerumani bado analipa madeni ya kivita kwa hasara alizosababisha HITLER nchi nyingi Sana ulaya nzima.

Kujijenga kijeshi ujerumani atahitaji muda sana
Kweli ?....yaani nchi tajiri ki-viwanda na yenye uchumi mkubwa kuliko zote huko ulaya magharibi unasema inahitaji muda kujijenga kijeshi ?
 
Nuclear warhead ni explosive device sio delivering vehicles...kama hujamaster namna ya kudeliver hizo warhead zinakuwa hazina ufanisi kwa hiyo unavosikia kitu inaitwa icbm hii ni rocket engine inayoweza kubeba nuclear warhead au convectional explosive
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…