ukraine kaponzwa kwa tamaa, nyege na kiherehere chake cha kutaka kumpa hifadhi mmarekani ilhali anajua kabisa mrusi asingekubali maana anamchukulia mmarekani kama his number one enemy.Kiburi Cha mwanadamu kinaenda kutolea mfano Ukraine ,maskini Ukraine wenye kiburi wanakuponza
Kila mtu anajua hilo unalosema, ila ukweli ni kuwa, Russia hii vita imemshinda na anaweza kutumia nyuklia kuficha aibu ya kushindwa.Salama ya hii Dunia iko kwa Urusi ishinde vita ! Vinginevyo atatumia nyuklia ! Na amesema hatanii katika hilo. !!
Huogopi kuwa zombie hahahahaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] acha uwoga wewe.
Hamna logic ktk ulichoandika. Zelensky yeye ni rais wa nchi, natimiza majukumu yake.Zelensky yeye ni mshereheshaji wa vita vinavyopiganwa nchini mwake. Hadi sasa anatambua fika kuna mabeberu 30 yanapumulia nyuma ya mgongo wake na isingekuwa hao mabeberu huenda tungeshamsahau.
Mwenye akili nirekebishesema mwamba huna akili kabisa
Mleta mada ndio hakujua hilo But Russia alijua kila kitu.Wakati anaanzisha, hizo harakati zake hakujua hilo
Hajawashindwa MKUUUko sahihi, japo mwanzo aliamini atawamudu Ukraine bila nuclear.
Nisome vyema MKUU huenda ukanielewaUnajua outcome za nukes? Au unafikir hizo ni baruti?
Kwa taarifa yako tu si russia si west hakuna anaetaka kutumia hizo silaha. Japokuwa wanazo. Madhara ni makubwa kuliko faida
Ukitaka kumchinja kobe unatakiwa utulieSasa urusi anashindwaje kuyamaliza mabeberu kama uwezo anao?
Hata hao panya (NATO), si unaona wanavyomsukumiza Ukraine mbele huku wao wakichochea kuni pembeni, badala ya wao kuingia kazini moja kwa moja?Ndugu yangu mimi hata mjumbe wa nyumba kumi hanijui nawezaje kudeal na Putin, niache nipambanie hawa malaika wangu ninaoweza kuwadhibiti hapa ndani
Huyu level yake ni NATO tu
Putini ni sawa na debe tupu., toka february amekuwa akitoa tahadhari hii na hii mara kugeuza vinu vya nuclear mara hivi mara vile, kuna siku alisema Finland na Sweden wakipeleka ombi la kujiunga nato atapiga moyo wa Nchi za Ulaya na baadae aka akasema iwapo Marekani itaweza base yake Finland ama Sweden atashambulia lakini yote haya yanafanyika mchana kweupe kule Filand Marekani wanakula zoezi na jesh la Finland na vyuma kibao vimepelekwa jamaa yupo yupo hajui ata jana yake alisema nini na leo kasema niniView attachment 2363478
...mchezo mchafu unaoendeshwa na Nato huko Ukraine tulishautambua.
....tumeitisha jeshi lote la akiba.
....hivi punde, Dunia itashuhudia isichokuwa ikikitarajia.
Putin.
Nb: Ndugu zangu tuombe Mungu atunusuru.
ukraine kaponzwa kwa tamaa, nyege na kiherehere chake cha kutaka kumpa hifadhi mmarekani ilhali anajua kabisa mrusi asingekubali maana anamchukulia mmarekani kama his number one enemy.
hata mimi katika hali ya kawaida ya kibinadamu siwezi nikakubali jirani yangu amkaribishe adui yangu ktk makazi yake halafu nikae tu kizembe bila kuanzisha figusu.
kwanza nitawachukia wote, halafu nitaanzisha mikakati inayoonekana na isiyoonekana kuhakikisha you all go down.
Kumbe misaada mingine tuliokua tunaskia toka us na nchi mablimbali na zile javelin haziesabiki, himas ndio ulikua msaada sio, hapo nimekusoma.Vita ilipoanza, Ukraine ilijhiandaa kwa kugawa Rifle na molotov cocktail; hawakuwa na silaha za kivita za kupambana ana kwa ana na Urusi. Marekani ilianza kwa kutaka kumhifadhi Rais wa Ukraine kwa kutegemea kuwa Ukraine isingeweza vita ile. Misaada ya silaha ilikuja baadaye sana baada ya Urusi kubwana na kushindwa kuikamata Kyiev ndipo Marekani ikaanza kutoa misaada ya silaha za kujikinga.
Silaha za mashamabulizi kama hizi Himars zimekuja baadaye sana.
Mrusi wa buza nimemaindi sana baada ya Putin kushindwa kuipiga Ukraine kwa siku 3 na mimi mtaani niliwaaminisha watu kuwa ni vita ya siku 3 tu.
Hizo Javelin zimekuwapo tangu Urusi ilipovamia Crimea na kuanza kuwafadhili waasi wa Mashariki mwa Ukraine. Hizo siyo silaha za mashamabulizi bali ni silaha za kujilindaKumbe misaada mingine tuliokua tunaskia toka us na nchi mablimbali na zile javelin haziesabiki, himas ndio ulikua msaada sio, hapo nimekusoma.
Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
Warusi wa tozo hawawezi kukujibu hili gigabyteAnapigana na nani sasa wakati toka mwanzo alipiga mkwara mtu mwingine asiingilie na atakayeingilia atakiona cha moto.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Mwana kidumu chama Cha mapinduziPutin ameshatoa onyo nasikia uko west wanafanya vikao ovyo ovyo awaamini kama jamaa ndio amefikia apo narudia tena hakuna mwenye ubavu wa kumzuia Russia asifanye chochote Ukraine wazungu madhara waliyoyapata kwenye world war yamewapa fundisho hakuna mtu atakayekubali kuruhusu nchi yake iwe kifusi kwa ajili ya Ukraine never.
Angekua uwezo huo hakua nao hadi alivyoazimwa technolojia na mmarekaniMkubwa siku zote akikosea husema bahati mbaya ila mdogo atalaumiwa maisha yake yote, ingekua mrusi ndio alitumia nyuklia basi wangekua na vikwazo hadi leo hii nchini mwake
Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app