Before Russia launched its invasion in February 2022, Putin outlined the objectives of what he called a "special military operation". His goal, he claimed, was to "denazify" and "demilitarise" Ukraine, and to defend Donetsk and Luhansk, the two eastern Ukrainian territories occupied by Russian proxy forces since 2014.Fafanua zaidi umejuaje Urusi kabanwa?
Unajua status ya front line?
Je urusi kaachia mikoa aliyoichukua?
Ni lini umesikia Urusi wakilalamika kuishiwa silaha?
Au kusikia mabomu mawili kudondokea kwenye ardhi ya Urusi ndo unasema urusi kabanwa
Aliyebanwa ni yule aliyeshindwa kukomboa maeneo yake..
Umetudanganya hapa.Mkuu sema palę Ukrainę mrusi kabanwa ndo maana anachukuwa hatua ambazo ni hatari kabisa kwa mustakabali wa amani ya dunia.
Pale wanatumia kama uwanja wa kupima silaha zao mpya nk. Hadi sasa hivi Putin kapewa silaha nyingi tu na Kim Jon Un. Na China wanampa mrusi msaada wa kiuchumi.
Ukiona hizo movements za Putin ni kujiweka kwenye nafasi nzuri endapo watakuja ku negotiate. Lakini kwenye uwanja wa vita wameshindwa kuwadhibiti Ukraine, na hizi purukushani zake ni kwasababu Ukrainę amesharuhusiwa kushambulia target ndani ya Russia kwa kutumia silaha alizopewa na marekani.
That was the game changer. So let’s see what unfolding…
Definitely something bigger is slowly but surely cooking.
Before Russia launched its invasion in February 2022, Putin outlined the objectives of what he called a "special military operation". His goal, he claimed, was to "denazify" and "demilitarise" Ukraine, and to defend Donetsk and Luhansk, the two eastern Ukrainian territories occupied by Russian proxy forces since 2014.Umetudanganya hapa.
Ukraine bado iko katika nafasi mbaya,kila leo wanaingia front na ku retreat.
Kama Russia angekua katika hali mbaya Ukraine asingekua ana retreat kila mara.
Ukraine ina ukata wa jeshi kiasi inakamata hadi raia barabarani kuwa recruit jeshini.
Na mnafiki Saudi ArabiaNa ndumila kuwili Turkey
Kama umetizama hivyo tukianza na kudismantle Ukrainian army tayari Russia keshafanikiwa.Before Russia launched its invasion in February 2022, Putin outlined the objectives of what he called a "special military operation". His goal, he claimed, was to "denazify" and "demilitarise" Ukraine, and to defend Donetsk and Luhansk, the two eastern Ukrainian territories occupied by Russian proxy forces since 2014.
Another objective, although never explicitly stated, was to topple the Ukrainian government and remove the country's president, Zelenskyy. "The enemy has designated me as target number one; my family is target number two," said Zelenskyy shortly after the invasion. Russian troops made two attempts to storm the presidential compound.
Russia shifted its objectives, however, about a month into the invasion, after Russian forces were forced to retreat from Kyiv and Chernihiv. According to the Kremlin, its main goal became the "liberation of the Donbas", including the regions of Khersonand Zaporizhzhia – but Moscow has made little progress in achieving this aim.
Ukraine war: who is winning?
Both sides look to strengthen battlefield position to gain greater leverage in a Trump-negotiated peace dealtheweek.com
Kama umetizama hivyo tukianza na kudismantle Ukrainian army tayari Russia keshafanikiwa.
Ukraine haina jeshi kama mwanzo kiasi inakamata mpaka raia huko mtaani ili kuwalazimisha waingie jeshini.
Hayo mengine ni matokeo ya vita,ila mpaka sasa Ukraine hajakomboa sehemu hata moja Russia aliyoinyakua.
Mchina ni unreliable, russia wameshalijua hili. China is all about economy, hataki uchumi upate shida by any means necessary. Ndio maana anauma na kupulizaMadikteta yameunganisha nguvu. Safi sana, Hapo bado wanamsubiri Mchina mzee wa kung’ata na kupuliza
Kijieneoi!?Ukraine war maps reveal Kyiv's recaptured frontline positions near Kharkiv
Russia launched a new cross-border offensive into Kharkiv last month, with fighting continuing further south in the region.www.newsweek.com
Najua Kiingereza pia ila huwenda nachokielezea wewe ndio huelewi.Mkuu Kosugi , zaidi ya kiswahili unaweza kusoma na kuelewa lugha gani?
Don’t take it personal. I just wanna know.
A Russian soldier, appearing in a clip published by the independent Russian outlet Astra over the weekend, said just over 10 percent of the soldiers in his unit remained after facing Ukrainian artillery fire and drones in Vovchansk.Najua Kiingereza pia ila huwenda nachokielezea wewe ndio huelewi.
Unadhani kwanini Putin hataki tena kuondoa utawala wa Kyiv kama alivyosema awali kuwafutlia mbali manazi wanaoongozwa na Zelenskyy?Kijieneoi!?
Nilidhani umekombolewa mji mzima,hata Donetsk mwaka huu mwanzoni wali claim hivi hivi kukomboa baadhi ya maeneo baadae waka retreat wote baada ya kuona mapambano makali.
Bado ni eneo sio mji mzima umekombolewa.A Russian soldier, appearing in a clip published by the independent Russian outlet Astra over the weekend, said just over 10 percent of the soldiers in his unit remained after facing Ukrainian artillery fire and drones in Vovchansk.
Fighting further south in Kharkiv, including east of the city of Kupiansk and down to the border with Donetsk, has blazed on for much of the full-scale war.
Siwezi jua ila nachofahamu kuondoa utawala wa mtu sio kitu rahisi.Unadhani kwanini Putin hataki tena kuondoa utawala wa Kyiv kama alivyosema awali kuwafutlia mbali manazi wanaoongozwa na Zelenskyy?
Putin hataki tena kuondoa utawala wa Zelensky. Anataka kuachiwa majimbo tu ambayo wamechukuwa kwa nguvu mfano Crimea na Donbas ndo vita iishe.Bado ni eneo sio mji mzima umekombolewa.
Na hii sio mara kwanza Ukraine ku claim amekomboa eneo kesha aka retreat.
Tupo hapa tunasubiri hayo maeneo yatakimbiwa tena na jeshi la Ukraine hivi punde.
Na ardhi ya Ukrainę itaendelea kupiganiwa na wananchi wa Ukrainę na ndicho kinaendelea hadi Putin anaenda kwa Kiduku, Iran, China na Vietnam.Siwezi jua ila nachofahamu kuondoa utawala wa mtu sio kitu rahisi.
Sio kitu rahisi umng'oe madarakani kijeshi rais wa taifa lingine.
Ila hiyo ardhi ya Ukraine imeshamegeka na itaendelea kumegwa.