Pamoja na kwamba hapa siyo pahali pake, lakini hiyo certificate ya lab tech ni ya field gani?Habari wakuu Mimi Nina certificate ya laboratory technician pia Nina experience ya miaka 3 kuhusu laboratory technician, laboratory analysis, QC,QA pia blending oparetor au syrup oparetor pia naweza kufanya kazi popote pale penye maabara au panapozalishwa bidhaa .yeyote atakaye nisaidia kupata connection ya job nipo tayari kumpa % kadhaa katika mshahara kama shukurani
Mkuu with all due respect, unaongea kama mrusi. Mfano abreviations ni alizotumia Putin kwa minajili ya propaganda. Maana yote aliyosema mwanzoni prewar kuna mabadiliko mengi. Nitakuwekea baadhi ya habari na source kuhusu majaribio ya kumuuwa Żeleński yalipofanyika.Hiyo ku koswa koswa siifahamu ila wananaomzunguka Zelensky ni wanazi haswa.
Ukraine ilikuwa hivyo kipindi cha Serikali ya Yanukovych, alipochagua kuchukua mkopo wa Urusi (usio na masharti) na kukataa mkopo wa IMF ambao ulikuwa na sharti la kubadilisha sheria za umiliki ardhi ili kuruhusu wageni wamiliki, akapinduliwa na Maydan 2014.
Historia ya Cremia, Donbas yote na mwambao wote mashariki mwa Dnieper river, mpaka Odessa, yote hiyo ni Novorassiya. Na Catherine the great ndiye aliyeijenga Odessa. Ndiyo maana maeneo hayo mpaka leo wanaongea kirusi. Aliyegawa Cremia kuwa Ukraine ni Khrushchev. Neo Nazi walikuwa wanapiga mabomu raia wa hayo maeneo kwa miaka 8, sasa ulitaka Urusi wafanyeje?
Hakuna ushahidi wowote Warusi walisema watamaliza vita kwa wiki kadhaa. Wao hawakutaka vita na Ukraine pia hawakuitaka, hata wanajeshi wao wanakiri hilo. Walikubali kukaa mezani na kuyamaliza, sharti likiwa ni kutojiunga NATO ila Johnson alipoenda Kiev mambo yakabadilika.
Putin anasema kama siyo mataifa ya magharibi, vita na Ukraine angeimaliza kwa wiki moja.Ukraine akikubali hilo sharti ni suala la muda tena hapo mbeleni Mrusi atarudi kutaka kipande kingine bora ampe tu nchi yote kama anataka amani ya kudumu otherwise apigane mpaka waishe.
Ever since Russian paratroopers attempted to land in Kyiv and assassinate President Zelensky in the early hours and days of the full-scale invasion in February 2022, plots to assassinate him have been commonplace. The Ukrainian leader said at the start of the invasion he was Russia's "number one target".7 May 2024Hiyo ku koswa koswa siifahamu ila wananaomzunguka Zelensky ni wanazi haswa.
Mmmmh!Putin hataki tena kuondoa utawala wa Zelensky. Anataka kuachiwa majimbo tu ambayo wamechukuwa kwa nguvu mfano Crimea na Donbas ndo vita iishe.
Ukraine anataka Russia arudi kwenye mipaka inayotambulika kimataifa. Hataki kuachia ardhi.
Kama Putin anataka kumaliza hii issue. Ashambulie Kyiv na kumuondoa Zelensky na kufutilia mbali utawala wake na aichukue Ukraine yote ambayo ilikuwa USSR wakati yeye akiwa KGB.
Shida iko wapi?
Just think bila mihemko.
Pamoja na kwamba hapa siyo pahali pake, lakini hiyo certificate ya lab tech ni ya field gani?
You’ve mentioned blending/syrup operator. Maabara ambayo umewahi kufanya kazi in audios na products ganil
Ni field ya lab technology in industrial. Niliwahi kufanya kazi katika kiwanda cha uzalishaji pombe spirit na wine yani konyagi kwahyo kazi ni kuhakikisha ubora na kufanya analysis mbalimbali na kublendingPamoja na kwamba hapa siyo pahali pake, lakini hiyo certificate ya lab tech ni ya field gani?
You’ve mentioned blending/syrup operator. Maabara ambayo umewahi kufanya kazi inauusika na products gani?
UshabikiPutin anasema kama siyo mataifa ya magharibi, vita na Ukraine angeimaliza kwa wiki moja.
Ndo maana ameenda kuomba misaada North Korea, Vietnam na pia kasaidiwa sana na Iran na China. Huko kote akienda anasema tatizo ni west.
Lakini kuna warusi wa JF wanabisha tu.
Putin says Ukraine would last ‘a week’ if Western military support stops
Putin’s prediction comes as concerns mount about future of US funding for Ukraine amid political turmoil in Washington.www.aljazeera.com
Ningemuunga mkono huyo dikteta unayemuona mtume wenu mpya ungenipatia bonge ya Like , sasa sijui nani mwenye ushabiki maandazi hapo..Imeloa hujui historia ya dunia ww unachojua ni kubisha na ushabiki maandazi
Tutajie basi rais aliyekuwa na dementia kama huyuUSA haijaanza Leo kuwa na rais mzee, pia USA kuwa na upinzanzani haijaanza Leo na hao wapinzani wake ndio anafaidika nao kiuchumi kwa kutengeneza siraha za kuwabonda.
Naftali Bennett (waziri mkuu mstaafu wa Israel) alishasema kuwa Putin alimhakikishia hawana nia ya kumuua Zelensky. Anachotakiwa kuogopa ni wao neo Nazi, ndiyo maana alimwodoa Zaluzhnyi, maana anaungwa mkono sana na hao jamaa.Ever since Russian paratroopers attempted to land in Kyiv and assassinate President Zelensky in the early hours and days of the full-scale invasion in February 2022, plots to assassinate him have been commonplace. The Ukrainian leader said at the start of the invasion he was Russia's "number one target".7 May 2024
Russian plot to kill Zelensky foiled, Kyiv says - BBC News
Two Ukrainian security officials are held over a Russian plot to assassinate the president, Ukraine says.www.bbc.com
Anahaki ya kuwa na wasi wasi, 1991 ilikuwa "Not an inch to the east", sasa imekuwa 100s of miles to the east.Mimi nazingatia sovereignty pamoja na internationally recognized borders. Maana kwa upande mkubwa, wasiwasi wa Putin ni proximity ya NATO vis-à-vis Russia.
Under the same UN charter, the republic of Kosovo is recognized but not the Luhansk and Donetsk people's republics, that's a double standard my friend."Special military operation" (also "special operation", and abbreviated as "SMO" or "SVOis an official term used by the Russian government and pro-Russian sources to denote the Russian invasion of Ukraine.[1][2][3][4] It is widely considered to be a euphemism created to minimize and obfuscate the true nature of the full-fledged war started by Russia, and to claim Russian victory in the operation no matter the results.[5][6][7][8]
It addressed the citizens of Russia and Ukraine, the Armed Forces of Russia and Ukraine, and the international community. Putin announced that Russia was launching a "special military operation" to defend the Russian-controlled territories in eastern Ukraine—the Donetsk People's Republicand Luhansk People's Republic—under Article 51 of the United Nations Charter. Russian elements in the separatist regions had been at war with Ukraine since 2014, and Russia had recently become the first state to recognize them as independent. Putin claimed that Ukraine had been committing genocide against Russian speakers in the region; that Ukraine's government were neo-Nazis under Western control; that Ukraine was developing nuclear weapons; and that NATO was building up military infrastructure in Ukraine, threatening Russia. These allegations were widely rejected as untrue.
Putin said that Russia was acting in self-defense, that its goal was the "demilitarization and denazification" of Ukraine, and claimed that Russia had no plans to occupy Ukrainian land. He threatened severe consequences for any country that intervened. The invasion began immediately after Putin's announcement.
Mkuu Naftali kusema kuwa amehakikishiwa na Putin yeye kama nani?Naftali Bennett (waziri mkuu mstaafu wa Israel) alishasema kuwa Putin alimhakikishia hawana nia ya kumuua Zelensky. Anachotakiwa kuogopa ni wao neo Nazi, ndiyo maana alimwodoa Zaluzhnyi, maana anaungwa mkono sana na hao jamaa.
Zelensky anaasili ya kiyahudi, hivyo wayahudi walitaka kujuwa nini hatma yake.Mkuu Naftali kusema kuwa amehakikishiwa na Putin yeye kama nani?
Kupeleka Paratroopers Kiev ilikuwa ni kutengeneza mazingira ya kurudi mezani, kumbuka kabla ya hapo teyari kulikuwa na Minsk 1 & 2, ambayo Angela Merkel alikiri baadae, ilikuwa ni kuvuta muda ili kulisuka jeshi la Ukraine.Amehakikishiwa kivipi na ni lini? Kwasababu mwanzoni kabisa “paratroopers” walishuka pale Kyiv na kujaribu kumuuwa.
Since then, it has been an ongoing effort…
Mkuu Naftali kusema kuwa amehakikishiwa na Putin yeye kama nani?
Amehakikishiwa kivipi na ni lini? Kwasababu mwanzoni kabisa “paratroopers” walishuka pale Kyiv na kujaribu kumuuwa.
Since then, it has been an ongoing effort…
Sawa mkuu, ingawa Putini hajawahi taka muua Zele Boy.Unadhani kwanini Putin hataki tena kuondoa utawala wa Kyiv kama alivyosema awali kuwafutlia mbali manazi wanaoongozwa na Zelenskyy?
Unaongea kana kwamba Urusi ina jeshi imara sana kiasi kwamba halijapata madhara yoyote kwenye hii vita.Ukraine haina jeshi kama mwanzo kiasi inakamata mpaka raia huko mtaani ili kuwalazimisha waingie jeshini.
Unawezaje kudhoofisha jeshi la adui yako na hatimaye kuondoa huo "unazi" bila ya kuondoa utawala wa hiyo nchi?Dhumuni la hii SMO haikuwa kuondoa utawala wa Ukraine bali kudhoofisha jeshi hilo na kuuondoa unazi (wafuasi wa Bandera).