Putin ni tishio kwa ustawi na usalama,Israel inapaswa kumshugulikia haraka sana

Putin ni tishio kwa ustawi na usalama,Israel inapaswa kumshugulikia haraka sana

Huyu dikteta hawezi kuifanya dunia kama anavyotaka anaitishia dunia na kusema peyote anayeingilia hii vita atakumbana na kipigo kikali
Usiwe unaongea mambo ambayo huyajui
Baadhi ya Warusi wana asili ya israel
Unajua kwa nini Roman abramovich ana uraia wa Israel?

Huu mgogoro umesababishwa na Nato na usa wala sio urusi
 
Russia ilikuwa imewekwa kwny angle ambayo ilikuwa haina option

NATO kuendesha harakati za kuwajumuisha Majirani wa Russia kwny Umoja wao ni uchokozi wa hadharan na kukiulka makubaliano ya baina yao na baina ya NATO yenyewe kwa yenyewe

Magharibi wanajua Russia ndio kikwazo ya wao kupata resources za gas ya Qatar kwa bei chee kwa kuwa imezuia jaribio hilo kwa kusimama na Syria iliyotakiwa ianguke ili bomba livuke

Kwa kifupi Russia ndio Engine ya Ujerumani kwny resources
 
Kwani Israel hawaogopi moto?
Israel hana sababu za kuiogopa urusi ,mossad ndiye iliyoitaarifu marekani kuwa uchaguzi 2016 ulidukuliwa na majasusi wa urusi na wakatoa ushahidi ,lakini ilipofika 2020 CIA kwa kushirika MOSSAD uchaguzi ule haukuduliwa hata kidogo na majasusi wa urusi na hatimaye mshindi alipatikana kihalali ambaye ni BIDEN
 
Usiwe unaongea mambo ambayo huyajui
Baadhi ya Warusi wana asili ya israel
Unajua kwa nini Roman abramovich ana uraia wa Israel?

Huu mgogoro umesababishwa na Nato na usa wala sio urusi
Hajui kwamba Wana ushirika wa kisiasa , hajui huyo [emoji16]
 
Huyu dikteta hawezi kuifanya dunia kama anavyotaka anaitishia dunia na kusema yeyote anayeingilia hii vita atakumbana na kipigo kikali
Israel yeye ana nini zaidi ya kila siku kumega eneo la parestina, Israel mwenyewe pia ni dikteta tu hana lolote na uhalali katika dunia hii,zaidi ya kukuzwa na waoga wa dunia hii hasa nchi maskni za kiafrika kupitia tuvitabu vya dini za magharibi
 
Hii vita wanaompinga Russia wanaipigana kwenye Media na kwa kumpiga Propaganda...., Na wengine wanapitia mulemule kwenye sanctions ambazo mwisho wa siku zinawanufaisha wao....

Ila kwa wahusika wengi ni wachache sana ambao hawana indivual self interest motives..., By the way Israel in comparison na Russia ni non entity.....
 
Israel yeye ana nini zaidi ya kila siku kumega eneo la parestina, Israel mwenyewe pia ni dikteta tu hana lolote na uhalali katika dunia hii,zaidi ya kukuzwa na waoga wa dunia hii hasa nchi maskni za kiafrika kupitia tuvitabu vya dini za magharibi
Kuna mengi hujui aisee. Jitahidi kunyamaza kwenye mambo mengine.
 
Huyu dikteta hawezi kuifanya dunia kama anavyotaka anaitishia dunia na kusema yeyote anayeingilia hii vita atakumbana na kipigo kikali
... kwa taarifa yako Israel ni swahiba mkubwa sana wa Russia; na pili hiyo vita (Russia vs Ukraine) haina maslahi ya moja kwa moja kwa Israel.
 
Back
Top Bottom