Putin ni tishio kwa ustawi na usalama,Israel inapaswa kumshugulikia haraka sana

Putin ni tishio kwa ustawi na usalama,Israel inapaswa kumshugulikia haraka sana

Huyu dikteta hawezi kuifanya dunia kama anavyotaka anaitishia dunia na kusema yeyote anayeingilia hii vita atakumbana na kipigo kikali
Israel haiwezi kumfanya chochote mrusio Israel ni saizi ya England
 
Russian FM Lavrov says Moscow wants:

  • Our expectations of Kyiv remain the same, Russia doesn’t change its position “like a girl”
  • We want to 'free Ukraine from oppression'
  • President Putin will hold several int phone calls
  • We want to ensure demilitarisation of Ukraine https://t.co/AT8CWuePp8
Wewe ni mtoto wa ngapi wa Putin?
 
Yaani Israeli ikamchape Russia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbona walishazichapa na Israel akashinda! Kumbuka vita anavyopigana Israel russia huwa upande wa adui na Israel zote kashinda..

Israel ndio ana record ya Dunia ya kuziangusha ndege nyingi za Russia kwenye uwanja wa vita
 
Wanafikiri huu ni ule wakati wa isaka na yakobo,wajilesi waone watakavyodundwa..🤣
😂😂😂😂😂😂😂
Wajizime data kidogo waone balaa la kijana machachari Putin dawa yao!
 
Wanafikiri huu ni ule wakati wa isaka na yakobo,wajilesi waone watakavyodundwa..[emoji1787]
Mungu hajawahi kupindisha ahadi yake aliwakung'uta waarabu wote kwa siku 6
 
Labda siku Putin akikosea akaamuru Jeshi lake kuivamia Israel! Hapo ndiyo utakuwa mwisho wake vinginevyo bado Putin ni mbabe wa dunia.
 
Mgogoro wa Ukraine unafaida kwa Israel.

Uturuki ilikua (maybe na inaendelea) inakuja juu kwa kasi kubwa kwenye utengenezaji wa vifaa vya kivita (hasa drones), na imewekeza sana kwenye viwanda Ukraine, pia ingeliweza kujipatia Old Soviet technology (including nuclear technology) huko kwa urahisi.

Viwanda vya Uturuki vilishaanza kujipatia wateja Arabuni (Qatar, UAE na Saudi alishaanzisha mazungumzo), na baadhi ya nchi za Ulaya (hii biashara ni tishio la kiuchumi kwa Israel).

Kui-destabilize Ukraine, ni hasara kubwa kwa Uturuki, ambayo tayari ina ndoto ya kuwa Super Power kijeshi na kiuchumi, hivyo kuwa threat kwa Israil, na Supporter kwa Palestine Territories.
Mkuu uko sawa kabisa! Watu hawaelewi dunia inavyokwenda.
 
Mleta mada we ni kichwa maji kweli kweli kwa hiyo ulivyokaririshwa kwenye baibo kuwa ziraili ni taifa teule baasi kwa akili yako unaamini kwamba izraeli anaweza piga taifa lolote hapa duniani! Bila kujali una kiwango gani cha elimu niseme tu kuwa haupo sawa ki maarifa hasa ya hapa duniani namaanisha una mawazo ya mbinguni
 
Israel yeye ana nini zaidi ya kila siku kumega eneo la parestina, Israel mwenyewe pia ni dikteta tu hana lolote na uhalali katika dunia hii,zaidi ya kukuzwa na waoga wa dunia hii hasa nchi maskni za kiafrika kupitia tuvitabu vya dini za magharibi
Exactly
 
Huyu dikteta hawezi kuifanya dunia kama anavyotaka anaitishia dunia na kusema yeyote anayeingilia hii vita atakumbana na kipigo kikali

Puttin na waliovamia nchi za kiarabu na kuuwa watu Wasiyo na hatia na baadhi ya viongozi wao kuuawa, je! ni nani GAIDI/DICTATOR kati yao????

Je, Israel nae kwa unyama anaotekeleza kwa wapalestina kuiba ardhi yao na kuuwa wasiyo na hatia, je! Unawazungumziaje hawa??

Israel inapaswa kumshugulikia haraka sana🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣​

unasimulia ukiwa wapi hapo mzee, tandale au gongolamboto kule mlipolipukiwa na mahandaki? Yaani Israel amshughulikie mrusi kweli!!! Huyu huyu anaepigana na raia wanaotumia manati na makombeo na bado anapata shida!!!! Are you serious babaa???
 
Israel hana sababu za kuiogopa urusi ,mossad ndiye iliyoitaarifu marekani kuwa uchaguzi 2016 ulidukuliwa na majasusi wa urusi na wakatoa ushahidi ,lakini ilipofika 2020 CIA kwa kushirika MOSSAD uchaguzi ule haukuduliwa hata kidogo na majasusi wa urusi na hatimaye mshindi alipatikana kihalali ambaye ni BIDEN
Umelewa?
 
Back
Top Bottom