CARDLESS
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 7,840
- 15,918
Huyo jamaa ni kichaaYaani Israeli ikamchape Russia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo jamaa ni kichaaYaani Israeli ikamchape Russia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ulisoma shule gani bibie?He need to be killed not good
Warusi wengi ni Jews kama ilivyo kwa Austria na nchi z9ngine za Ulaya. Hivyo, usitegeme ka Israel itaingilia mgogoro wowote Ulaya kwa sasa. Israel wao wanapambana na ndugu zao wa Mashariki ya kati tu.Israel hana sababu za kuiogopa urusi ,mossad ndiye iliyoitaarifu marekani kuwa uchaguzi 2016 ulidukuliwa na majasusi wa urusi na wakatoa ushahidi ,lakini ilipofika 2020 CIA kwa kushirika MOSSAD uchaguzi ule haukuduliwa hata kidogo na majasusi wa urusi na hatimaye mshindi alipatikana kihalali ambaye ni BIDEN
Huwezi sema mgogoro umesababisha na NATO bila kuweka uhusika wa Urusi. NATO ni shirika ambalo nchi huru huweza kujiunga kwa hiari wakikidhi vigezo. Majirani wa Urusi kujiunga na NATO kunatafsiriwa na Urusi kama tishio la kiusalama na ndio tunayaona yote haya.Usiwe unaongea mambo ambayo huyajui
Baadhi ya Warusi wana asili ya israel
Unajua kwa nini Roman abramovich ana uraia wa Israel?
Huu mgogoro umesababishwa na Nato na usa wala sio urusi
Kama kigezo ni hicho, Ukraine ndio mojawapo ya nchi zenye jews wengi, hata Rais wa Ukraine ni jew.Warusi wengi ni Jews kama ilivyo kwa Austria na nchi z9ngine za Ulaya. Hivyo, usitegeme ka Israel itaingilia mgogoro wowote Ulaya kwa sasa. Israel wao wanapambana na ndugu zao wa Mashariki ya kati tu.
Taifa la MunguIsrael anaingiaje hapo??
Yawezekana ulilenga kufurahisha hadhira ila kuita vitabu vya dini eti ni tuvitabu ni kumkosea Mungu, pumzi isikudanganye ndugu yangu kuna judgement day.Israel yeye ana nini zaidi ya kila siku kumega eneo la parestina, Israel mwenyewe pia ni dikteta tu hana lolote na uhalali katika dunia hii,zaidi ya kukuzwa na waoga wa dunia hii hasa nchi maskni za kiafrika kupitia tuvitabu vya dini za magharibi
Kila mmoja wetu ni mtoto wa Mungu.Taifa la Mungu
🤣🤣🤣Yaani Israeli ikamchape Russia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
🤣🤣Akili hana huyu msamehe bure [emoji16][emoji16][emoji16][emoji119]
Maneno haya mbona huyasemi pindi marekan anavamia nchi mbalimbali na kusababisha vifo na aman kutoweka?Huyu dikteta hawezi kuifanya dunia kama anavyotaka anaitishia dunia na kusema yeyote anayeingilia hii vita atakumbana na kipigo kikali
Sio Hana Kuna watu wameaminishwa zile stori za kwenye vitabu mpaka wanaamini ndio maisha halisiAkili hana huyu msamehe bure [emoji16][emoji16][emoji16][emoji119]