MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 4,041
- 10,699
Hii nayo ni changa jingine Slav na Jews wapi na wapi.Warusi wengi ni Jews kama ilivyo kwa Austria na nchi z9ngine za Ulaya. Hivyo, usitegeme ka Israel itaingilia mgogoro wowote Ulaya kwa sasa. Israel wao wanapambana na ndugu zao wa Mashariki ya kati tu.
Ila ipo. Idadi ya Jews katika Urusi, kama ilivyo Marekani, kanada tofauti Yao wao walipewa special oblast Yao nchini Urusi kumbuka ndiye aliyewatoa kwenye mapigano ya Nazi