Russia akiamua kumaliza vita anaweza anapiga tu nuclear moja kazi imeisha. Otherwise Russia akiingilia hii vita pengine ndio utakua mwisho wa ubabe wa Israel hapo middle East.Urusi yenyewe inatandikwa na Ukreine kwenye anga lake ndio ataweza kuzuia ndege za Israeli zisitambe kwenye anga la Iran.
Nilishasema Urusi na USA na China ni kitu kimojaVladimir Putin amesema kuwa Iran haijaonyesha nia ya kushirikiana na Urusi katika mifumo ya ulinzi wa anga.
Siku ya Jumatano tarehe 18 mwezi Juni 2025 , Rais wa Urusi aliandaa kikao na wahariri wakuu wa mashirika ya habari, ambapo suala la vita vya Israel na Iran lilijadiliwa.
Kuhusu usaidizi kwa ulinzi wa anga wa Iran amesema: "Tuliwahi kutoa pendekezo kwa marafiki zetu wa Iran kwamba tushirikiane katika uga wa mifumo ya ulinzi wa anga, lakini washirika wetu hawakuonyesha nia kubwa wakati huo, na ndivyo ilivyokuwa."
Bw. Putin pia alisema: "Pendekezo letu lilikuwa kuunda mfumo kamili, sio uwasilishaji tofauti wa vifaa; mfumo mmoja.
Mwishowe, tulizingatia suala hili mara moja tu, lakini upande wa Iran haukuonyesha nia kubwa na suala hilo lilisitishwa.
Nimekupata mkuu.👍Russia akiamua kumaliza vita anaweza anapiga tu nuclear moja kazi imeisha. Otherwise Russia akiingilia hii vita pengine ndio utakua mwisho wa ubabe wa Israel hapo middle East.
Syria alipoingia Russia ndio vita ikabadili upepo hata hao Israel wakashindwa mpindua Assad!! Russia match yake ni USA/China sio hao wayahudi.
Sasa kupiga nuclear sio kitu rahisi kama unavyodhani sababu sio yeye pekee mwenye hizo nuclear na kazi itakuwa haijaisha, ndio inaweza kuwa ngumu zaidiRussia akiamua kumaliza vita anaweza anapiga tu nuclear moja kazi imeisha. Otherwise Russia akiingilia hii vita pengine ndio utakua mwisho wa ubabe wa Israel hapo middle East.
Syria alipoingia Russia ndio vita ikabadili upepo hata hao Israel wakashindwa mpindua Assad!! Russia match yake ni USA/China sio hao wayahudi.
Vita ni strategies, hawa mabwana wanafanya makusudi vita isiishe duniani.Nilishasema Urusi na USA na China ni kitu kimoja
Hii vita inatufundisha sana juu ya aina ya uwekezaji kijeshi.Urusi yenyewe inatandikwa na Ukreine kwenye anga lake ndio ataweza kuzuia ndege za Israeli zisitambe kwenye anga la Iran.
Huwezi kuingia nchi za watu bila kibaliPutin unauzi sana wewe lizee nenda kamsaidie mwenzio hata wewe ulipochezea kichapo walikusaidia sana
Biashara ya silahaVita ni strategies, hawa mabwana wanafanya makusudi vita isiishe duniani.
Mwaka 3.5 bado hajaiteka Ukraine.Russia akiamua kumaliza vita anaweza anapiga tu nuclear moja kazi imeisha. Otherwise Russia akiingilia hii vita pengine ndio utakua mwisho wa ubabe wa Israel hapo middle East.
Syria alipoingia Russia ndio vita ikabadili upepo hata hao Israel wakashindwa mpindua Assad!! Russia match yake ni USA/China sio hao wayahudi.
Sisi Iran tunataka tuwaue waisrael wasio na hatia ili wamchuki waziri mkuu wao Benja.Hii vita inatufundisha sana juu ya aina ya uwekezaji kijeshi.
Wekeza kwenye intelijensia na sio vifaa pekee vya kijeshi.
Irani ina vifaa bora vya kijeshi lkn inapigana kwa kurusha hovyo bila target za kumpunguza ngu adui, atapiga nyumba za makazi badala ya kuangamiza silaha na miundombinu ya silaha na watumiaji wake.
Wakati Israel anaangamiza miundombinu ya silaha na viongozi wa kijeshi
Iran wameshasema nchi marafiki wameomba kutoa msaada wao wamesema bado wanajiweza hawahitaji msaada.Putin unauzi sana wewe lizee nenda kamsaidie mwenzio hata wewe ulipochezea kichapo walikusaidia sana
Huijui vizuri urusi Wewe , kwenye rada na makombora. Hii Dunia nzima kilee chuma hakuna mpinzani. Marekani Yuko vizuri sana kwenye Jet(fighters)na bombers no offense ila ukija kwenye rada na missile Russia Sio wa Dunia hii.Urusi yenyewe inatandikwa na Ukreine kwenye anga lake ndio ataweza kuzuia ndege za Israeli zisitambe kwenye anga la Iran.
Ingekuwa ni hivyo Ukraine angekuwa ashamaliza Vita. Zamaani. Wewe sio mfuatiliaji wa mambo ya kivita(kijeshi) unasikiaga tu habari basiHata kama ingekuwa mimi ningekataa yeye mwenyewe ameshindwa kulinda anga lake dhidi ya ukraini kila siku anabondwa i