Putin: Tulitaka kuisaidia Iran katika ulinzi wa anga yao lakini ikapuuza

Putin: Tulitaka kuisaidia Iran katika ulinzi wa anga yao lakini ikapuuza

Huyo urusi hiyo nuclear angeanza kuipiga Ukraine kama anaubavu maana Kila siku anachezea kichapo mpaka wanajeshi wameisha anakodi Korea supa pawa wa mchongo a.k.a kubwa jinga
Ukraine wameteka majimbo mangapi ndani ya Urusi? Mbona mnajilisha Upepo
 
Huyo urusi hiyo nuclear angeanza kuipiga Ukraine kama anaubavu maana Kila siku anachezea kichapo mpaka wanajeshi wameisha anakodi Korea supa pawa wa mchongo a.k.a kubwa jinga
Ukraine wameteka majimbo mangapi ndani ya Urusi? Mbona mnajilisha Upepo
 
Hivi wewe ni umepagawa??
Kyiv hadi sasa inashambuliwa kwa makombora na drone kutoka Russia.
Na hadi sasa wachambuzi wanakwambia kama jeshi la Ukraine likiendelea kutepeta hivi basi si muda mrefu Kyiv inachukuliwa.
Hadi sasa Russia amechukua mikoa mitano ya Ukraine.

Nani kakudanganya Israel ameteka anga la Tehran?
Zile drone anazorusha za shahed zinapitia wapi?
We mwenyewe unasema Russia ikashambulia kyiv kwa drone na makombora unafikiri kwa nini hatumii ndege hapa anamanisha zile su mg na nyinginezo yaani kwa kifupi hakuna ndege yeyote ya Russia si fighter wala bomber ambayo inaweza kuruka juu ya anga la Kiev capital city kama tunavyoona ndege za Israel zinavyoruka na kufanya mashambulizi huko Tehran Capital city
 
Hii vita inatufundisha sana juu ya aina ya uwekezaji kijeshi.
Wekeza kwenye intelijensia na sio vifaa pekee vya kijeshi.

Irani ina vifaa bora vya kijeshi lkn inapigana kwa kurusha hovyo bila target za kumpunguza ngu adui, atapiga nyumba za makazi badala ya kuangamiza silaha na miundombinu ya silaha na watumiaji wake.

Wakati Israel anaangamiza miundombinu ya silaha na viongozi wa kijeshi
israel kule gaza anatumia akili kupigana na hamas au ndo mkuki kwa nguruwe
 
Bila US + NATO mpaka Leo Ukraine isingekuwepo. Unajua Mifumo ya HIMARS Na Armour car aina ya Bradley Vehicle zilivyo saidia Merchandize brigade za Ukraine kuresist ..!? Unajua bila Hao unao sema ni fake friend mpaka Leo tungekuwa tumesha sahau kama Ukraine ilipigana na Russia ..?



Absolutely
Na kwa kuwakumbusha tu kabla nchi hizo hazijaanza kutoa misaada majeshi ya Russia yalikuwa yamebakia kilomita chache sana kuingia Kiev lakini USA and aliens walipoiwezesha Ukraine yale makombora ya kupiga vifaru mpaka leo hakuna anayejua wale wanajeshi wa kirussia walipotelea wapi
 
Putin unauzi sana wewe lizee nenda kamsaidie mwenzio hata wewe ulipochezea kichapo walikusaidia sana
Kuna vitu vingi sana vinakupita ndugu yangu,haihitaji hata Elimu ya form four kujua kua Urusi,china na Korea kasakazini wapo kazini masaa 24 kuisaidia Iran Sasa hivi na kabla ya hata ya vita hii.
Yaani wanaipa taarifa zote muhimu za intelijensia na ushauri kwa Siri.
Wapo wanasoma mwenendo wa vita,na ndio wameweza kuwafanya USA waogope kuingia kuisaidia Israel.
Kamwe nakuhakikishia Urusi hawezi kuiacha Iran, na hivi Sasa yupo nyuma ya Iran katika vita hivi.
Na naona warusi wanaona Iran inaimudu vita hii,lkn warusi wakiona Iran Inazidiwa na Israel kwa msaada wa moja Kwa moja kutoka USA,nakuhakikishia Urusi nao wataingia moja Kwa moja.
Urusi hawezi kumwacha Iran ndugu yangu.
Tena Urusi hii vita anaitamani sana Ili USA ijichanganye TU kuingia kijeshi mazima ndipo Urusi ipate nafasi ya kulipa kisasi kwa kile USA amekua akikifanya kwenye vita ya Urusi na Ukraine.
USA amekua akimsaidia Ukraine silaha na intellijensia ili kuidhoofisha Urusi,hivyo nae Urusi amepata nafasi ya kuisaidia Iran ili kuidhoofisha USA na NATO.
Kumbuka Putin aliwahi kusema kua nao Urusi watakuja kutoa misaada ya silaha kwa maadui wa USA na nchi za west.
Akapendekeza kua Wa Houth ndio watapewa kipaumbele Cha kwanza kwa sababu wanaujasiri na uthubutu.
Sasa Leo hii kaja Mu Iran ambae anaweza vizuri kazi hiyo ya kumdhoofisha Babu USA ,hivyo ni kama upele umempata mkunaji.
Kuna mambo yanaendelea nyuma ya pazia Kati ya Urusi,china, Korea kasakazini na Iran ambayo hayana ushahidi lakini ndio yanayompa Iran uwezo wa kufanya anachofanya Leo hii.
Usiamini sana kauli za Urusi kusema sisi hatuko upande wowote katika vita hii.
Sasa shangaa wataalamu wote wa kwenye miradi ya nyukukia ya Iran ni warusi na Putin tayari kashatoa tamko kua miradi yote ya nyukikia ya Iran inaendeshwa na warusi na yote bado Iko salama haijaathirika na mashambulizi ya Israel na wala haitaweza kushambuliwa.
Sasa kwa kauli hizo bado huamini kama Urusi Iko nyuma ya Iran katika vita Hii?
Kwa kifupi kabisa ni kwamba anasubiriwa Marekani TU ajiingize mazima ili aanze kufanyiwa kitu mbaya Hadi akimbie Tena kama alivyokimbia Vietnam na Afghanistan.
Hapa ni mwendo wa kudhoofishana TU .
Hapa bado china,na Korea kasakazini nao wanamtamani.
China anatamani kumdhoofisha USA Kwa sababu ya Taiwan na Korea kasakazini anatamani kumdhoofisha kwa sababu nae USA anatakaga kumpiga Korea kasakazini.
Kama huamini subiri USA arushe bomu moja TU ndani ya Iran.
 
Vladimir Putin amesema kuwa Iran haijaonyesha nia ya kushirikiana na Urusi katika mifumo ya ulinzi wa anga.
Siku ya Jumatano tarehe 18 mwezi Juni 2025 , Rais wa Urusi aliandaa kikao na wahariri wakuu wa mashirika ya habari, ambapo suala la vita vya Israel na Iran lilijadiliwa.

Kuhusu usaidizi kwa ulinzi wa anga wa Iran amesema: "Tuliwahi kutoa pendekezo kwa marafiki zetu wa Iran kwamba tushirikiane katika uga wa mifumo ya ulinzi wa anga, lakini washirika wetu hawakuonyesha nia kubwa wakati huo, na ndivyo ilivyokuwa."

Bw. Putin pia alisema: "Pendekezo letu lilikuwa kuunda mfumo kamili, sio uwasilishaji tofauti wa vifaa; mfumo mmoja.

Mwishowe, tulizingatia suala hili mara moja tu, lakini upande wa Iran haukuonyesha nia kubwa na suala hilo lilisitishwa.
Hiki sio kijiwe chenu cha kahawa, leta source ya hii habari....
 
Russia akiamua kumaliza vita anaweza anapiga tu nuclear moja kazi imeisha. Otherwise Russia akiingilia hii vita pengine ndio utakua mwisho wa ubabe wa Israel hapo middle East.

Syria alipoingia Russia ndio vita ikabadili upepo hata hao Israel wakashindwa mpindua Assad!! Russia match yake ni USA/China sio hao wayahudi.
Sasa Israel ana nyukilia kwa akili yako. Na russia awezi kuingilia hiyo vita. Ndiyo maana anaongea kwa akili kubwa ili usielewe Nia yake. Kila wakati anazungumzia mazungumzo ya kumaliza vita ndiyo ushauri wa Putin.
hata hiyo Russia ikipigwa nyukilia nayo itaisha pia. Ndiyo maana alipotishia nyukilia Macon alimwambia Putin usifikili kichaa unacho peke yako.
 
Yes lakini Israel itakua devastated kuliko Urusi ambayo ina watu mara 100 ya waliopo Israel!!! So wanauwezo wa kuanza upya
Waanze upya unajua idadi ya nyukilia ambayo Israel wanazo. Alafu usitegemee wenye nyukilia kuchukulia mambo kirahisi Kama unavyodhani wewe. Ndiyo maana nchi Kama Iran inabanwa kumiliki sababu ya kuwa na akili Kama zako.
 
Waanze upya unajua idadi ya nyukilia ambayo Israel wanazo. Alafu usitegemee wenye nyukilia kuchukulia mambo kirahisi Kama unavyodhani wewe. Ndiyo maana nchi Kama Iran inabanwa kumiliki sababu ya kuwa na akili Kama zako.
Issue sio idadi, kwa udogo wa Israel wakipigwa nuke moja ni game over. Kwa urusi utahitaji B83 hata 100 ili kuvuruga sasa hiyo capacity Israel hawana na itakua too late kufanya hizo logistics kwa muda huo.

So Israel ikitokea nuclear holocaust ndio atakua victim wa kwanza
 
Na russia awezi kuingilia hiyo vita
Amesema Iran haijaomba msaada meaning ikiomba anaingia mchezoni.

Mind you kasema wanasanyansi 200 bado wanapiga kazi Iran na hawaondoi. Sasa kama Israel ni mwanaume akaguse hao nuclear experts aone moto
 
Mkristo wa Orthodox akamsaidie kobaz Mujaheedeen ? Russia anajua upumbavu wa hawa watu amepambana sn na Magaidi wa Kiislamu kule Chechniya..
Mbona alimsaidia Assad kupambana na wayahudi na wafadhili wao USA?
 
Unapaswa kuelewa kwamba kuna muisraeli nyuma ya maswala ya kisayansi ya Russia na hata kiuchumi vilevile
Mfano yupi? Mnapenda kulishana propaganda za kitoto sana.
kusema kwamba alikua pia akishambulia kambi za Iran zilizokuwa Syria na wala S-400 za Russia hazikumsaidia muiran.
Mashambulizi yote ya Iran targets walikua wakiomba ridhaa kwa Russia. Hakuna hata siku moja hao Israel wana ubavu wa kumgusa kambi ya Russia hata kama walitoa silaha kwa Hezbollah au Assad. Kama ni wanaume si wangeshambulia kambi za Russia alafu ndio tuone majibu yake..
 
Kuwa rafiki wa Putin hakuhalalishi jeshi la Russia kwenda kupambana na wasyria wasio mtaka rais wao. Putin akltumia Advisers na vifaa pia mamluki wa Wagner ,Marekani na vibaraka wake ndo wanaweza kufanya hivyo Sio Russia. Russia kwenye sera zake za kimataifa haingilii mambo ya ndani ya Nchi husika kama US , British au France ndo hakupeleka jeshi libya kumlinda Gaddafi

Assad amewekwa kinyumba na Putin kwa sasa. Ni aibu
 
Back
Top Bottom