EddyC4
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 209
- 207
Sio kweli Iran ilikataa kuuziwa mfumo wa S 400 ikaopt mfumo wao wa Ulinzi wa Anga wa ndani unao itwa walio tengenrza wenyewe(indigenous ) unaitwa Bavar . So Iran walikuwa na S 300 na Bavar Sio S 400 ambayo ndo mfumo tishio kwa Sasa. Swala la kuangusha ndege . Ni kwa Sababu Israel alishambulia akiwa nje ya Kill zone ya ADS . Hakuingia kwenye Anga ya Iran. Alitumia Beyond Visual Range weapons. Hayo ni makombora yanaweza kupiga Target ilio Hadi umbali wa kwa zaidi ya miles 120(200 Km) mfano Meteor Missile,.Mifumo ya ulinzi wa anga ya Urusi ni ya kawaida sana. Ni ile ya kuzsaidia kuzuia zana za kawaida kama dtones, na siyo makombora kama supersonic au hizo ndege zisizoonekana kwenye radar. Iran ilikuwa inatumia mifumo ya ulinzi wa anga iliyotengenezwa urusi, ya S300 na S400, yote ilishindwa kuangusha hata ndege moja ya Israel wakati wa shambulio la kwanza, ikaishia na yenyewe kuchakazwa.
Pia Kuna Missile ambazo zinaweza kuwa launched kwa Aerial Vehicle (Fighter jet and bomber) ambazo Zina range ya More than 300Km mfano PL-15 au KS-172 aka K-100 la Russia ambalo Lina range ya 400km.
So kwa Muktadha kama huo unaweza kushambuliwa na ndege ikiwa mbaaali kabisa na Kill zone ya ADS zako.
MFUATILIAGE MAMBO !!