Putin: Tulitaka kuisaidia Iran katika ulinzi wa anga yao lakini ikapuuza

Putin: Tulitaka kuisaidia Iran katika ulinzi wa anga yao lakini ikapuuza

Urusi yenyewe inatandikwa na Ukreine kwenye anga lake ndio ataweza kuzuia ndege za Israeli zisitambe kwenye anga la Iran.

Urusi tena inatandikwa na drones za Ukraine. Kama drones ambazo hazina speed kubwa zinaweza kupenya, ndiyo utaweza kuzuia ndege zinazoenda kasi au makombora ya supersonic?
 
Uko serious kabisa kwamba Russia angeamua kuingia miguu miwili Syria hao wayahudi wangeshinda?

Kama wanajiamini mbona hawajawahi shambulia kambi ya warusi yoyote huko Syria?
Urusi hamna kitu wewe Kila siku anachezea kichapo na ka nchi kama Ukraine mwaka wa 5 huu unaenda hamna kitu huyo mpaka anakodi wanajeshi korea supa pawa wa mchongo
 
Kumbe unajua kuisha watu hawawezi kuisha halafu huyo urusi muoga wa kifo vita yake imemshinda huko Ukraine Kila siku anapasuliwa ndio akamguse muisrael unaota wewe
Huwezi maliza wote ila ikitokea nuclear holocaust Israel itafutika kuliko Russia kufutika!! So atakayeumia ni Israel na usishangae akapigwa nuclear na USA ikarudi nyuma kwa kuepuka mgogoro wa moja kwa moja na Russia
 
Huyo urusi hiyo nuclear angeanza kuipiga Ukraine kama anaubavu maana Kila siku anachezea kichapo mpaka wanajeshi wameisha anakodi Korea supa pawa wa mchongo a.k.a kubwa jinga
 
Ingekuwa ni hivyo Ukraine angekuwa ashamaliza Vita. Zamaani. Wewe sio mfuatiliaji wa mambo ya kivita(kijeshi) unasikiaga tu habari basi

Mifumo ya ulinzi wa anga ya Urusi ni ya kawaida sana. Ni ile ya kuzsaidia kuzuia zana za kawaida kama dtones, na siyo makombora kama supersonic au hizo ndege zisizoonekana kwenye radar. Iran ilikuwa inatumia mifumo ya ulinzi wa anga iliyotengenezwa urusi, ya S300 na S400, yote ilishindwa kuangusha hata ndege moja ya Israel wakati wa shambulio la kwanza, ikaishia na yenyewe kuchakazwa.
 
Sababu Ukraine kuna nchi zaidi ya 9 zinamsaidia. Hao Russia si wali beep tu siku moja kujaribu WMDs zake ikabidi hadi USA aondoe msaada wa long range missiles kushoot deep inside Russia!!

Russia anapigana kuteka majimbo ila angetaka tu kuangamiza angeshamaliza vita kwa nuclear tu. Hata Iran leo hii iwe supported na China na Russia unadhani Israel atatoboa?
😂 😂 Mbona Rusia nae ana surpotiwa na Iran na North Korea?
 
Huwezi maliza wote ila ikitokea nuclear holocaust Israel itafutika kuliko Russia kufutika!! So atakayeumia ni Israel na usishangae akapigwa nuclear na USA ikarudi nyuma kwa kuepuka mgogoro wa moja kwa moja na Russia

Hakuna nchi ya kutumia bomu la nuclear, labda nchi zile zenye viongozi wendawazimu, kama vile Iran au North Korea. Kwa wakati tuliopo ambapo watu tumejazana kila sehemu, mpaka kwenye mipaka ya mataifa, huwezi kuipiga bomu la nuclear taifa moja, mpaka lifutike. Uwezekano huo haupo. Unaweza kupiga tu kwenye eneo fulani dogo la nchi, lakini siyo nchi yote. Ukitaka kuimaliza Israel kwa bomu la nuclear maana yake.ni lazima uwamilize baadhi ya wananchi wa Misri, Lebanon, Syria, Jordan na Iraq, maana jao wote wanapakana na Israel.
 
Russia akiamua kumaliza vita anaweza anapiga tu nuclear moja kazi imeisha. Otherwise Russia akiingilia hii vita pengine ndio utakua mwisho wa ubabe wa Israel hapo middle East.

Syria alipoingia Russia ndio vita ikabadili upepo hata hao Israel wakashindwa mpindua Assad!! Russia match yake ni USA/China sio hao wayahudi.

So ASSAD bado yupo Rais SYRIA?
 
Hujui kitu, Russia walisema wazi kabisa hawatoingilia na waliondoa silaha na wanajeshi wao kutoka kwenye "defensive lines".

So vita ikawa imeshaisha.
Shida ya wachangiaji wengi humu hasa wanao rejea mgogoro wa Syria kama reference hawajui Chochote kuhusu. Kitu ambacho wengi hawajui ni kuwa Russia hakwenda Syria kupambana na Wana mgambo walio kuwa Wana mpinga Assad moja kwa moja kufanya hivyo ni kinyume na mapatano na makubaliano mbalimbali ya kimataifa. Russia akienda kumzuia marekani kuingiza askari wake kumpindua assad. Russia akitaka wasyria waamue mambo Yao wenyewe bila kuingiliwa na mtu(mataifa mengine). So ndo hivyo wasyria wenyewe waka amua wenyewe
 
Usitulishe matango pori.
Israel hawezi kuhimili hata theluthi ya nguvu ya Russia.
Hapo Syria tu Russia alipeleka baadhi ya askari na vifaa Israel ilishindwa kumuangusha Assad miaka zaidi ya 10.
Kuna mfumo wa anga wa Israel unaweza kuzuia Oreshnik!??
Hiyo Ukraine imeporwa mikoa mitano hadi sasa.
Halafu mnasema Russia hajaiweza Ukraine.
Unazungumzia Russia hii ambayo mpaka leo haiwezi kurusha ndege Kiev capital city dhidi ya Israel hii ambayo imechukua siku nne kutawala anga la Tehran Capital city. Ni kweli kabisa Israel hawezi kushinda dhidi Russia japo Russia inaweza kushinda kwa tabu sana tena taabu zaidi ya kile inachokutana nacho ukrein
 
Assad hakuwa rafiki wa Putin?
Kuwa rafiki wa Putin hakuhalalishi jeshi la Russia kwenda kupambana na wasyria wasio mtaka rais wao. Putin akltumia Advisers na vifaa pia mamluki wa Wagner ,Marekani na vibaraka wake ndo wanaweza kufanya hivyo Sio Russia. Russia kwenye sera zake za kimataifa haingilii mambo ya ndani ya Nchi husika kama US , British au France ndo hakupeleka jeshi libya kumlinda Gaddafi
 
Russia ilijitoa kumsaidia Assad, na hao waliompindua ni al qaeda (HTS) formerly Al Nussra front wakiwa na support ya Marekani, SDF ya kurds na majeshi mengine ya ulaya.

Israel alishashindwa kumtoa Assad kwa miaka zaidi ya 10 maana Russia alishaweka mguu. Na angejaribu kumgusa mwanajeshi wa Russia ndio rasmi ingefutwa kwenye ramani ya dunia.

Israel naye anajua level zake,
Kufutwa?

Hata Iran hatoweza maisha yake yote

Mkuu, kuifuta Israel mbona haiwezekani mkuu, tuendeleeni kudanganyana
 
Russia akiamua kumaliza vita anaweza anapiga tu nuclear moja kazi imeisha. Otherwise Russia akiingilia hii vita pengine ndio utakua mwisho wa ubabe wa Israel hapo middle East.

Syria alipoingia Russia ndio vita ikabadili upepo hata hao Israel wakashindwa mpindua Assad!! Russia match yake ni USA/China sio hao wayahudi.
Kwa hiyo ina maana Assad alivyotimuliwa Syria Russia ilikuwa imefutwa kwenye ramani ya dunia.😛😛

Na kwa taarifa yako ujue Russia inaiogopa Israel na ujue bila Israel hakuna Russia.
 
Unazungumzia Russia hii ambayo mpaka leo haiwezi kurusha ndege Kiev capital city dhidi ya Israel hii ambayo imechukua siku nne kutawala anga la Tehran Capital city. Ni kweli kabisa Israel hawezi kushinda dhidi Russia japo Russia inaweza kushinda kwa tabu sana tena taabu zaidi ya kile inachokutana nacho ukrein
Hivi wewe ni umepagawa??
Kyiv hadi sasa inashambuliwa kwa makombora na drone kutoka Russia.
Na hadi sasa wachambuzi wanakwambia kama jeshi la Ukraine likiendelea kutepeta hivi basi si muda mrefu Kyiv inachukuliwa.
Hadi sasa Russia amechukua mikoa mitano ya Ukraine.

Nani kakudanganya Israel ameteka anga la Tehran?
Zile drone anazorusha za shahed zinapitia wapi?
 
Russia akiamua kumaliza vita anaweza anapiga tu nuclear moja kazi imeisha. Otherwise Russia akiingilia hii vita pengine ndio utakua mwisho wa ubabe wa Israel hapo middle East.

Syria alipoingia Russia ndio vita ikabadili upepo hata hao Israel wakashindwa mpindua Assad!! Russia match yake ni USA/China sio hao wayahudi.
Hizo kelele za russia akiamua kumaliza bita mwaka wa tatu huu zinasemwa watu mbali mbali. Vita inamaliza uchumi, resources za nchi , let alone idadi ya watu

Kama russia angekuwa na uwezo angshamaliza waay back, kabla hata ukraine haijapata msaada wowote
 
Back
Top Bottom