Putin: Tulitaka kuisaidia Iran katika ulinzi wa anga yao lakini ikapuuza

Putin: Tulitaka kuisaidia Iran katika ulinzi wa anga yao lakini ikapuuza

Russia akiamua kumaliza vita anaweza anapiga tu nuclear moja kazi imeisha. Otherwise Russia akiingilia hii vita pengine ndio utakua mwisho wa ubabe wa Israel hapo middle East.

Syria alipoingia Russia ndio vita ikabadili upepo hata hao Israel wakashindwa mpindua Assad!! Russia match yake ni USA/China sio hao wayahudi.
Mzee, mbona umerahisisha hivyo kupiga nuclear? Kuna watu wana roho za shetani lakini bado uamuzi wa kupiga nuke huwa hawaupi nafasi kabisa
 
Urusi tena inatandikwa na drones za Ukraine. Kama drones ambazo hazina speed kubwa zinaweza kupenya, ndiyo utaweza kuzuia ndege zinazoenda kasi au makombora ya supersonic?
Unajua kwanini droni zinapenya..!? Ulinzi dhidi ya droni umekuwa very challenging na mpaka Sasa hakuna mbabe wa hiloo hata marekani anahaha kwa Sababu droni zimekuja kuwa game changer wa mbinu na mapigano. Kwa kuangalia vita ya Ukraine kama mfano. Mifumo Mingi ya Ulinzi wa Anga ilitengenezwa kwa ajili ya ndege na makombora yanayo ruka juu kwa kiwango fulani ila droni zinazo ruka chini zaidi kuliko mifumo hiyo. So zinakuwa ni kuwa ngumu detected na radar ambazo ndio huongoza anti Aircraft missile zote . Pia SAM ni ngumu sana kudungua droni so droni ni challenge pande zote mbili Russia na Ukraine. Huo Sio udhaifu wa Russia tu hata US anahaha kuzuia droni dhidi ya rug tag militant kama houdhi
 
Ma
Urusi hamna kitu wewe Kila siku anachezea kichapo na ka nchi kama Ukraine mwaka wa 5 huu unaenda hamna kitu huyo mpaka anakodi wanajeshi korea supa pawa wa mchongo
Marekani yenye Kitu miaka 20 ilifanya Nini Afrighanistan.!? Vietnam au kulee Korea..!? Angalia vita ya Ukraine kati ya Russia na Ukraine nani ana gain..!?
 
Mzee, mbona umerahisisha hivyo kupiga nuclear? Kuna watu wana roho za shetani lakini bado uamuzi wa kupiga nuke huwa hawaupi nafasi kabisa
Hao ni mawazo ya watoto. Kwa taarifa yake tu baada ya yalee madhara yalio tokea Hapana nuclear ni silaha za maonyeshe Sio matumizi
 
Putin unauzi sana wewe lizee nenda kamsaidie mwenzio hata wewe ulipochezea kichapo walikusaidia sana
Mzungu (Putin/Russia) akamsaidie muajeni ili kumuua Mzungu mwenzie Israel? Are you kidding yourself? Nimeishi na kufanya kazi na hawa watu; watagombana sana wenyewe kwa wenyewe BUT when it comes to another race, hawawezi kumuunga mkono mtu wa race nyingine, watakua kitu kimoja against you then wao wataendelea na ugomvi wao baadae.
 
Sisi Iran tunataka tuwaue waisrael wasio na hatia ili wamchuki waziri mkuu wao Benja.

Tutawaua na kuwaua watu wasio na hatia.
Kwa kuwa watu wenye hatia hatuna uwezo wa kuwagusa.... acha tudeal na hizi soft targeet shekhe!!... ikishindikana zaidi tunajivika mabomu tu...
 
Russia akiamua kumaliza vita anaweza anapiga tu nuclear moja kazi imeisha. Otherwise Russia akiingilia hii vita pengine ndio utakua mwisho wa ubabe wa Israel hapo middle East.

Syria alipoingia Russia ndio vita ikabadili upepo hata hao Israel wakashindwa mpindua Assad!! Russia match yake ni USA/China sio hao wayahudi.

Sahizi Assad yukwapi?
 
Ukiwa rafiki wa USA,CHINA na URUSI jua unarafiki wakati wa raha na wakati unapogombana nchi changa vingenevyo utaiimbiwa nyimbo tu
 
Mzungu (Putin/Russia) akamsaidie muajeni ili kumuua Mzungu mwenzie Israel? Are you kidding yourself? Nimeishi na kufanya kazi na hawa watu; watagombana sana wenyewe kwa wenyewe BUT when it comes to another race, hawawezi kumuunga mkono mtu wa race nyingine, watakua kitu kimoja against you then wao wataendelea na ugomvi wao baadae.
Mkristo wa Orthodox akamsaidie kobaz Mujaheedeen ? Russia anajua upumbavu wa hawa watu amepambana sn na Magaidi wa Kiislamu kule Chechniya..
 
Iran wameshasema nchi marafiki wameomba kutoa msaada wao wamesema bado wanajiweza hawahitaji msaada.

Hii vita bado changa sana kuanza kuomba msaada, ni sawa Iran kuendelea kupambana peke yake so long as US naye bado hajaingiza miguu yote katika vita upande wa Israel.
Hakuna nchi iliyoonyesha kutaka kupeleka misaada iran.
Ni wao tuu wamesema ili kujitutumua.
Hapo labda Russia ndo apeleke.
Ila nchi mmmmh .
Ingekuwa wamepaka mipaka sawa.

Sasa kama anga Yao upo uchi kiasi hivyo , unategemea nini
 
Mifumo ya ulinzi wa anga ya Urusi ni ya kawaida sana. Ni ile ya kuzsaidia kuzuia zana za kawaida kama dtones, na siyo makombora kama supersonic au hizo ndege zisizoonekana kwenye radar. Iran ilikuwa inatumia mifumo ya ulinzi wa anga iliyotengenezwa urusi, ya S300 na S400, yote ilishindwa kuangusha hata ndege moja ya Israel wakati wa shambulio la kwanza, ikaishia na yenyewe kuchakazwa.
Air defense system nyingi za iran zilipigwa kwa sasa wanatoa zile za akiba.
Ndo wanatumia.
Ila kwa kawaida hakuna air defense system ambayo ipo sahihi 100%
 
Hakuna nchi iliyoonyesha kutaka kupeleka misaada iran.
Ni wao tuu wamesema ili kujitutumua.
Hapo labda Russia ndo apeleke.
Ila nchi mmmmh .
Ingekuwa wamepaka mipaka sawa.

Sasa kama anga Yao upo uchi kiasi hivyo , unategemea nini
Kwahiyo unataka nikusikilize wewe muokota habari mitandaoni badala ya Top Diplomat wa Iran Abbas Araghchi?

Huu sasa ndio wendawazimu.
 
Hii vita inatufundisha sana juu ya aina ya uwekezaji kijeshi.
Wekeza kwenye intelijensia na sio vifaa pekee vya kijeshi.

Irani ina vifaa bora vya kijeshi lkn inapigana kwa kurusha hovyo bila target za kumpunguza ngu adui, atapiga nyumba za makazi badala ya kuangamiza silaha na miundombinu ya silaha na watumiaji wake.

Wakati Israel anaangamiza miundombinu ya silaha na viongozi wa kijeshi

Kama Mu iran Ana weza kutenageneza Hizo missiles, Na mabomu ya Nyuklia Intellgensia ya Kupiga maeneo muhimu hashindwi.

Anazidiwa kwa kua Israeli anasupportiwa na Nchi nyingi ku intercept hizo missiles
 
Kama Mu iran Ana weza kutenageneza Hizo missiles, Na mabomu ya Nyuklia Intellgensia ya Kupiga maeneo muhimu hashindwi.

Anazidiwa kwa kua Israeli anasupportiwa na Nchi nyingi ku intercept hizo missiles
Mnapenda visingizio sana.
Yeye si anasaidiwa na China na Urusi?
Iran kama ni moja ya superpower atakosaje washirika wamsaidie
 
Russia akiamua kumaliza vita anaweza anapiga tu nuclear moja kazi imeisha. Otherwise Russia akiingilia hii vita pengine ndio utakua mwisho wa ubabe wa Israel hapo middle East.

Syria alipoingia Russia ndio vita ikabadili upepo hata hao Israel wakashindwa mpindua Assad!! Russia match yake ni USA/China sio hao wayahudi.
Maamuzi ya kupiga NUKE si kama kumsukuma mlevi apepesuke na hata akipiga nadhani inaweza kuwa ni mwanzo wa vita kubwa mno na dunia inayomzunguka badala ya mwisho.
 
Back
Top Bottom