Pwani: Magari yagongana uso kwa uso, wanne wafariki



Inaeezekana marehemu alisinzia, mida mibaya ya kusafiri hiyo
 
Mimi ninahisi atakuwa Diana,yule kaolewa na Msukuma.Diana ni mfanya biashara na alikuwa anasafiri kwenda nje ya nchi mara nyingi. Sia anafanya kazi NSSF ni ngumu kwenda nje miezi,Nora anafanya kazi Mzumbe Uni,ni ngumu pia kusafiri miezi kwenda nje.
Ndo kuna kitu nimeona PHU bla blah pamoja we can.....kumbe ndo hao....
Walikosa ushauri wa kupata dereva???
 
Ndo kuna kitu nimeona PHU bla blah pamoja we can.....kumbe ndo hao....
Walikosa ushauri wa kupata dereva???
Yaani ndo madhara ya overconfidence .Halafu huyo kaka yao ni Boss bank so atakuwa na dereva wake.Hivyo huwa hakai mara nyingi kwenye usukani.Mimi binafsi safari za Mwanza huwa ninatafua dereva mwenye uzoefu tena mwenye Leseni ya kutuka NIT.Sometimes bora umlipe dereva.Dereva mwenye mafunzo na uzoefu hawezi kuovertake usiku sehemu ile huku haoni mbele wakati ile barabara kuna risk ya kukutana uso kwa uso na malori .Na malori mengi yanayotoka nairobi,Arusha ,Tanga ,Moshi hiyo ndo njia yao.
 
Heads on collision..
Scania imepigwa shavu kulia..definitely...Prado ilikuwa haina dereva'"ni msogeza gari tu''
mdogo wangu usiseme hivyo , ajali hiyo , Kama Mbwewe alifika saa saba usiku, means alitoka Dar es saa mbili , na mchana wote alikuwa kazini, akawapitia ndugu zake then akasafiri usiku, huyo alipata usingizi kama si kukatika tairi ya mbele.
 
We unajua magari, hii gari hata unaweza kuta unaenda speed 40 ikakatika mguu wa mbele, kumbuka hata ile ajali ya WAtoto na mzazi waliotoka kwenye mahaffali udsm mwaka jana pale Kimara.
Nakuambia Prado sio gari ni takataka bin uchafu....hata bila kukata mguu Hua zinakata na kiuno😀😀hasa kwenye njia za changarawe...
 
mdogo wangu usiseme hivyo , ajali hiyo , Kama Mbwewe alifika saa saba usiku, means alitoka Dar es saa mbili , na mchana wote alikuwa kazini, akawapitia ndugu zake then akasafiri usiku, huyo alipata usingizi kama si kukatika tairi ya mbele.
We jamaa namna gani???
Huyu kama angekuwa dereva asingesinzia....wangapi wanafanya kazi mchana kutwa na usiku wanakesha.2.tairi linakatikaje??? Au wazungumzia ''BASTI'' 3.Kama ni ball joint au tire road end zilileta shida...alikagua gari kabla ya safari...kama ndio...ni garage ipi?...hapa tujifunze...je?macho ya dereva (prado}na taa za scania.....kwa nini apige scania asipige pori?????
 
Kwa maelezo ya RPC wa Pwani, Inaonekana dereva alikuwa amekunywa pombe.
Waendeshaji vya vyombo vya moto mnakumbushwa tena, DON'T DRINK ALCOHOL AND DRIVE
Hatari sana hii, kazi ya udereva ni taaluma kama taaluma zingine, uzoefu wa kuendesha safari ndefu hasa usiku sio kitu chepesi kama wengi wanaomiliki magari mjini na kujiamulia tuu waondoke bila usaidizi ni hatari kwa maisha yao.

Saa nane usiku ni mida migumu sana kuendesha hasa kwa mtu asiye na uzoefu wa kuendesha mara kwa mara safari ndefu lazima atasinzia tuu na ukitaka kuamini hili tazama kwenye mabasi abiria wengi mida hii wamelala fofofo kwa wale wa kutoka, bukoba,tarime Kigoma hili wanalifahamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…