Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
#HABARI BODI ya Maji Bonde la Wami/Ruvu imemkamata mkulima mkubwa raia wa China anayefanya kilimo cha umwagiliaji Kijiji cha Kidogozelo Kitongoji cha Migudeni wilayani Chalinze akivuta Maji katika Mto Ruvu kwa kutumia mashine yenye uwezo wa kuvuta maji Lita milioni moja kwa saa. https://t.co/sdJ6JzZ2Ck
View attachment 2016510
Katolewa Kafara huyo, taifa la hovyo sana hili.Huyo tayari kashadondoshewa jumba bovu
Ipo Sheria ya Bonde la Ruvu na matumizi ya maji kama ana vibari amepona kama ana Vibari amepotea kama mwana Nzilahakuna sheria aliyoikiuka????
Ipo Sheria ya Bonde la Ruvu na matumizi ya maji kama ana vibari amepona kama ana Vibari amepotea kama mwana Nzilaha
alafu suarez akakataa kushikana mikono na Pogba mnamuita mbaguzi!!.Hao washenzi wanatakiwa warudishwe kwao serikali inakosea sana kuwaruhusu kujazana hapa kwetu.
Chief Hangaya na JK wanawapa bandari ya Bagamoyo. Vumilia tuHao washenzi wanatakiwa warudishwe kwao serikali inakosea sana kuwaruhusu kujazana hapa kwetu.
Huyo mwekezaji wa mbogamboga angekuwa awamu ya Mobutu kule Zaire angepewa kesi ya uhujumu uchumi na utakatishaji wa fedha😂😂
Wasukuma ndio chanzo cha yote hayaHalafu wanalaumiwa Wasukuma[emoji848]
Ufafanuzi kidogo!
Huyu msela akikwambia asubuhi kumekucha toka chungulia nje uhakikishe
Kwahiyo tukukamate na wewe 🤣🤣Kwani unajua nafanya shughuli gani! labda nalima hizo mboga mboga.
KoSa lake ni nini#HABARI BODI ya Maji Bonde la Wami/Ruvu imemkamata mkulima mkubwa raia wa China anayefanya kilimo cha umwagiliaji Kijiji cha Kidogozelo Kitongoji cha Migudeni wilayani Chalinze akivuta Maji katika Mto Ruvu kwa kutumia mashine yenye uwezo wa kuvuta maji Lita milioni moja kwa saa. https://t.co/sdJ6JzZ2Ck
View attachment 2016510