Acha upuuzi hao ndio walipakodi wenyewe, pia wanatoa ajira isiyo rasimi, we unalipaje kodi kuchangia pato la Taifa?Hao washenzi wanatakiwa warudishwe kwao serikali inakosea sana kuwaruhusu kujazana hapa kwetu.
KwahIyo kosa la mchina ni nini; nipe quote ya January akisema kiwa shida ya umeme imesababishwa na upungufu wa maji: January kasema shida ni magufuliUkiangalia kwenye hiyo Picha nyuma ya huyo Mwekezaji wa Kichina utaona Mto Ruvu ulivyokauka.
Halafu tunamshambulia Januwari Makamba.
Si ndio wanajifanya wameshika nchiHalafu wanalaumiwa Wasukuma🤔
WewEEEeEEeeeeeee, huwezi kumwagilia lita mil kwa saa, acha hizoooooooAnavuna lita mil 1 kwa saa.
Ushawahi kufika ruvu nyakati zote za mafuriko na kiangaziUkiangalia kwenye hiyo Picha nyuma ya huyo Mwekezaji wa Kichina utaona Mto Ruvu ulivyokauka.
Halafu tunamshambulia Januwari Makamba.
Hivi tuna akili kweli??#HABARI BODI ya Maji Bonde la Wami/Ruvu imemkamata mkulima mkubwa raia wa China anayefanya kilimo cha umwagiliaji Kijiji cha Kidogozelo Kitongoji cha Migudeni wilayani Chalinze akivuta Maji katika Mto Ruvu kwa kutumia mashine yenye uwezo wa kuvuta maji Lita milioni moja kwa saa. https://t.co/sdJ6JzZ2Ck
View attachment 2016510
Kama ni mkulima wa mboga! Je? Anaziuza hapa hapa wananchi wanafaidi au anasafirisha nje?#HABARI BODI ya Maji Bonde la Wami/Ruvu imemkamata mkulima mkubwa raia wa China anayefanya kilimo cha umwagiliaji Kijiji cha Kidogozelo Kitongoji cha Migudeni wilayani Chalinze akivuta Maji katika Mto Ruvu kwa kutumia mashine yenye uwezo wa kuvuta maji Lita milioni moja kwa saa. https://t.co/sdJ6JzZ2Ck
View attachment 2016510
Kwahiyo ukilipa kodi unafanya unavyotaka!Acha upuuzi hao ndio walipakodi wenyewe, pia wanatoa ajira isiyo rasimi, we unalipaje kodi kuchangia pato la Taifa?
Sasa kama ana vibali atapona na atapotea... kama ana vibari amepona kama ana Vibari amepotea kama mwana Nzilaha
Mwendazake alikuwa hajali mambo ya Mazingira kwa maelezo kwamba ni wapiga kuraHizo sheria wanatoa kwa wakazi wote wa Ruvu, au mpaka majanga yatokee ndio wanafumua makarabrasha ya sheria, sidhani kuna mtu mjinga atakae ambiwa hapo kuna moto na bado akaenda,
Wao ndio mabingwa wa ubaguzi na dharau.alafu suarez akakataa kushikana mikono na Pogba mnamuita mbaguzi!!.
watu manao zaliwa na kuzeekea ndani ya comfort zone zenu mnashida flan hivi.