Pwani: Mtambo wa kuvuna maji lita milioni moja kwa Saa, wakamatwa katika chanzo cha maji cha mto Ruvu

Pwani: Mtambo wa kuvuna maji lita milioni moja kwa Saa, wakamatwa katika chanzo cha maji cha mto Ruvu

Mchina ameangushiwa jumba bovu[emoji1787]

Kwamba ana shamba la mbogamboga ambalo pampu ikifinguliwa linasababisha mgao wa maji Dar es salaam mzima.
Lita milioni moja Kwa saa,hiyo mashine akiifungulia si inasababisha mafuliko shambani!!?[emoji1787]

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app

Haitakuwa ajabu ukisikia akiwasha tu mto wote unakauka.

Hiiiiii bagosha!
 
1M litres/hr ndiyo uwezo wa mashine.

Je yeye anatumia maji Lita ngapi kwa siku?
 
Wachina bhana biashara zao ET analima mboga mboga watanzania tuamke Hawa watu wamezid huku kwetu huko Congo n mwendo wa kuvuna miti tu huku Tanzania n mwendo wa kuvuna maji tu
 
Back
Top Bottom