Pwani: Mtambo wa kuvuna maji lita milioni moja kwa Saa, wakamatwa katika chanzo cha maji cha mto Ruvu


Haitakuwa ajabu ukisikia akiwasha tu mto wote unakauka.

Hiiiiii bagosha!
 
1M litres/hr ndiyo uwezo wa mashine.

Je yeye anatumia maji Lita ngapi kwa siku?
 
Hawa si ndio wawekezaji mnaolilia kila siku waje wawekeze ama nini?
Jpm alikuwa hawapendi wawekezaji aina ya wazungu kwa sababu ya kuingilia democracy na haki za binadamu akawapenda hawa WACHINA
 
Wachina bhana biashara zao ET analima mboga mboga watanzania tuamke Hawa watu wamezid huku kwetu huko Congo n mwendo wa kuvuna miti tu huku Tanzania n mwendo wa kuvuna maji tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…