Tunahitaji kujua dhima ya kwa hukumu la kutungua vichwa vya vijana kama vibuyu ilikuwaje?ili angalao tiseme r.i.p au go to hell🤔Askari wawili wa Jeshi la Polisi, Izdory George Michael na Rehema Juma Magawa, wamefariki dunia baada ya kugongwa na gari aina ya Toyota Noah katika barabara kuu ya Dar es salaam - Morogoro kwenye eneo la Maili Moja, Kibaha Mkoani Pwani.
Jeshi la Polisi mkoani Pwani limesema baada ya ajali, gari hilo namba T 804 ERM lilikimbia, na baada ya msako kufanyika lilikutwa likiwa limefichwa maeneo ya Kwa Mfipa.
MY TAKE
Wameanza kupungua.. Au tuanzishe thread ya vifo vya mapolisi?
Hakuna polisi innocentSura yake imekaa innocent 😢
Yeah polis genz uweledi ni mdogoKuna kale ka tabia wanajificha wakiona umeovertake sehemu isio ruhusiwa/au inaruhusu kwa tahqdhqri(mstari mmoja) wanakimbilia barabarani kukusimamisha.
Ulitaka wafe wangapi mkuu?Vijana wadogo kabisa ila wamekufa wachache mno
Mara nyingi nikiwa Highway ya DSM-Morogoro, utakuta askari wa polisi wanakaa kati kati ya barabara na kukagua gari likiwa limesimama lane moja, huku mgongo umeachwa barabarani side ya pili.Askari wawili wa Jeshi la Polisi, Izdory George Michael na Rehema Juma Magawa, wamefariki dunia baada ya kugongwa na gari aina ya Toyota Noah katika barabara kuu ya Dar es salaam - Morogoro kwenye eneo la Maili Moja, Kibaha Mkoani Pwani.
Jeshi la Polisi mkoani Pwani limesema baada ya ajali, gari hilo namba T 804 ERM lilikimbia, na baada ya msako kufanyika lilikutwa likiwa limefichwa maeneo ya Kwa Mfipa.
MY TAKE
Wameanza kupungua.. Au tuanzishe thread ya vifo vya mapolisi?
Too young to die.Vijana wadogo kabisa, kabinti bado maini mabichi asee!
Pole kwa walioguswa na msiba huu.
Au wanasimamisha magari vibaya kuasi cha kuleta foleni na kuhatarisha usalama wao. Huwa natamani kuwaambia lakini najua ni wajuaji na wapumbavu huwa nawaacha tu wajifunze kwa njia ngumu kama hii.Mara nyingi nikiwa Highway ya DSM-Morogoro, utakuta askari wa polisi wanakaa kati kati ya barabara na kukagua gari likiwa limesimama lane moja, huku mgongo umeachwa barabarani side ya pili.
Wanakoswa koswa lakini utafikiri barabara na magari vinawaogopa.
Hili liwe funzo, mchuma hauna urafiki na mtu.
Kabarabara kenyewe ni kembamba, kamejaaa mashimo na bado wanakagulia magari barabarani.Au wanasimamisha magari vibaya kuasi cha kuleta foleni na kuhatarisha usalama wao. Huwa natamani kuwaambia lakini najua ni wajuaji na wapumbavu huwa nawaacha tu wajifunze kwa njia ngumu kama hii.
Hilo semea wewe mimi nimeamua kusema hili mzee, hakupangii mtu humu cha kuandika.Wakati wanaua Watanganyika mbona hukusema ni wadogo...??
Sawa,Hakuna polisi innocent
Gari zilizokuwa mbele zilisimama ili watembea kwa mguu wavuke barabara, huyo mjinga akaamua kutanua na kuzipita ambapo aliwagonga hao askari waliokuwa wakiwalinda raia wapite salama, jamaa ni mkazi wa Mlandizi.Huyo dereva atakuwa ni mlevi wa mihadarati na aliamua kuwagonga hao maaskari
DuuuhWameanza kupungua.. Au tuanzishe thread ya vifo vya mapolisi?