Nilufer
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 9,603
- 13,654
Na hawatoki, wanakula na kunywa hapo hapo na kupeana shift za kwenda kuoga. OYA jipu🙌🙌🙌Zinakuja ist 20 .kudai rejesho la 124,000
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hawatoki, wanakula na kunywa hapo hapo na kupeana shift za kwenda kuoga. OYA jipu🙌🙌🙌Zinakuja ist 20 .kudai rejesho la 124,000
Unapoanzisha kampuni ya microfinance unapaswa kuzingatia changamoto zote za wateja unaoenda kuwahudumia. Hapa ndipo umuhimu wa dhamana dhidi ya mkopo unahitajika na tathmini ya biashara ya mkopaji ili kubaini uwezo wake wa kulipa. Kama hayo hayawezekani basi biashara ya microfinance huwezi, wekeza hela zako kwenye shughuli zingine. Imagine kama leo hii mabenki yangeanza kitumia njia hii ya Oya ya kudai madeni, je, ingekuaje?Ni Sawa lakini hatujui yaliyojiri Pengine walikuwa ktk kujihami je?
Tatizo wakopaji wanajisahau sana.
Pia zingatia hata ktk ngazi ya mtu binafsi, mtu na mtu watu hawalipi madeni kwa wakati sababu ya ugumu wa mioyo.
Mtu hataki kulipa deni na kisha anakujibu jeuri anakwambia nenda kashitaki popote .
Kumbuka kwanza kufuatilia madeni kuna involves costs.
Wengine hadi wanashindwa kulipa mishahara wafanyakazi lakini Hela ziko mikononi mwa watu wajeuri hawataki kulipa.
Ni wajibu wa Taasisi ya Fedha kufanya Utafiti kitaalamu na kujiridhisha kuwa mwombaji wa mkopo ana capacity kulipa mkopo au la Ili kuepuka kutengeneza bad debts, labda kama huna Elimu na masuala ya Fedha.Swala la kuweza kulipa linabaki kuwa wajibu wa mkopaji.
Mabenk hayana msaada kwa mtu wa hali ya chini. Yenyewe yanakopesha watu ambao tayari wanapesa. So usilinganishe kabjsa.Unapoanzisha kampuni ya microfinance unapaswa kuzingatia changamoto zote za wateja unaoenda kuwahudumia. Hapa ndipo umuhimu wa dhamana dhidi ya mkopo unahitajika na tathmini ya biashara ya mkopaji ili kubaini uwezo wake wa kulipa. Kama hayo hayawezekani basi biashara ya microfinance huwezi, wekeza hela zako kwenye shughuli zingine. Imagine kama leo hii mabenki yangeanza kitumia njia hii ya Oya ya kudai madeni, je, ingekuaje?
Nadhani kwa level ya umaskini wa wengi kifedha..hii mikopo ya vimicrofinance vingi vilivyopo mitaani na vya kwenye APPs BOT wafute tu na waweke sheria hakuna kuanzisha zibaki bank na taasisi nyinyine kubwa kubwa zio hizi za kuuana , kukaushana damu , kuleteana mattress, mana hali ya uhitaji wa vimkopo hivi mitaani ni kubwa sana..bora solution ya shida za watu isipatikane kirahisi rahisi kama ivi mwishowe Majuto pande zote. Yani ningekuwa mimi futa vyote....la wakopeshaji hao wafate taratibu japo najua nao wagumu sababu riba zao pia hazifati uhalisi, ...unajua ukianzisha mikopo wateja utawapata tu kwakuwa shida zimewabana watu , mtu anapokopa anajipa matumaini atalipa..ila mda wiki moja sio rahisi kama huna biashara...na wakati mwingine mtu anakopa sio kwamba alikuwa na shida kubwa sana ila kwasbab mikopo ipo anakopa....something must be done on this hata kama sio huo ushauri..wenye mitaji yao wataokolewa lakin amani mitaani itakuwepoUnapoanzisha kampuni ya microfinance unapaswa kuzingatia changamoto zote za wateja unaoenda kuwahudumia. Hapa ndipo umuhimu wa dhamana dhidi ya mkopo unahitajika na tathmini ya biashara ya mkopaji ili kubaini uwezo wake wa kulipa. Kama hayo hayawezekani basi biashara ya microfinance huwezi, wekeza hela zako kwenye shughuli zingine. Imagine kama leo hii mabenki yangeanza kitumia njia hii ya Oya ya kudai madeni, je, ingekuaje?
Wafute vyote tuwe unaasaidiana sisi kwa sisi kama zamani.Nadhani kwa level ya umaskini wa wengi kifedha..hii mikopo ya vimicrofinance vingi vilivyopo mitaani na vya kwenye APPs BOT wafute tu na waweke sheria hakuna kuanzisha zibaki bank na taasisi nyinyine kubwa kubwa zio hizi za kuuana , kukaushana damu , kuleteana mattress, mana hali ya uhitaji wa vimkopo hivi mitaani ni kubwa sana..bora solution ya shida za watu isipatikane kirahisi rahisi kama ivi mwishowe Majuto pande zote. Yani ningekuwa mimi futa vyote....la wakopeshaji hao wafate taratibu japo najua nao wagumu sababu riba zao pia hazifati uhalisi, ...unajua ukianzisha mikopo wateja utawapata tu kwakuwa shida zimewabana watu , mtu anapokopa anajipa matumaini atalipa..ila mda wiki moja sio rahisi kama huna biashara...na wakati mwingine mtu anakopa sio kwamba alikuwa na shida kubwa sana ila kwasbab mikopo ipo anakopa....something must be done on this hata kama sio huo ushauri..wenye mitaji yao wataokolewa lakin amani mitaani itakuwepo
I agree 100%Nadhani kwa level ya umaskini wa wengi kifedha..hii mikopo ya vimicrofinance vingi vilivyopo mitaani na vya kwenye APPs BOT wafute tu na waweke sheria hakuna kuanzisha zibaki bank na taasisi nyinyine kubwa kubwa zio hizi za kuuana , kukaushana damu , kuleteana mattress, mana hali ya uhitaji wa vimkopo hivi mitaani ni kubwa sana..bora solution ya shida za watu isipatikane kirahisi rahisi kama ivi mwishowe Majuto pande zote. Yani ningekuwa mimi futa vyote....la wakopeshaji hao wafate taratibu japo najua nao wagumu sababu riba zao pia hazifati uhalisi, ...unajua ukianzisha mikopo wateja utawapata tu kwakuwa shida zimewabana watu , mtu anapokopa anajipa matumaini atalipa..ila mda wiki moja sio rahisi kama huna biashara...na wakati mwingine mtu anakopa sio kwamba alikuwa na shida kubwa sana ila kwasbab mikopo ipo anakopa....something must be done on this hata kama sio huo ushauri..wenye mitaji yao wataokolewa lakin amani mitaani itakuwepo
Na ninaamini kuwa kuna sheria nzuri za BOT(kwenye makaratasi) katika kuthibiti hizi microfinances BUT kama kawaida yetu hakuna usimamiaji na uthibiti wake matokeo tasisi hizi zinajichukulia sheria mikononi na kuona kuwa kupiga,kuteka, kutesa hata kuua ni sehemu ya ku enforce debt collection!!Nadhani kwa level ya umaskini wa wengi kifedha..hii mikopo ya vimicrofinance vingi vilivyopo mitaani na vya kwenye APPs BOT wafute tu na waweke sheria hakuna kuanzisha zibaki bank na taasisi nyinyine kubwa kubwa zio hizi za kuuana , kukaushana damu , kuleteana mattress, mana hali ya uhitaji wa vimkopo hivi mitaani ni kubwa sana..bora solution ya shida za watu isipatikane kirahisi rahisi kama ivi mwishowe Majuto pande zote. Yani ningekuwa mimi futa vyote....la wakopeshaji hao wafate taratibu japo najua nao wagumu sababu riba zao pia hazifati uhalisi, ...unajua ukianzisha mikopo wateja utawapata tu kwakuwa shida zimewabana watu , mtu anapokopa anajipa matumaini atalipa..ila mda wiki moja sio rahisi kama huna biashara...na wakati mwingine mtu anakopa sio kwamba alikuwa na shida kubwa sana ila kwasbab mikopo ipo anakopa....something must be done on this hata kama sio huo ushauri..wenye mitaji yao wataokolewa lakin amani mitaani itakuwepo
Kabisa. Na lengo la kuenforce debit repayment ni sawa lakini sio enforcing iwe ni kucreate other mistakes, kama hivo hao maafisa watakabiliwa na kesi ya mauaji..mwenye kampuni hahusiki atawaruka tu..sababu ile ni kampuni yenyewe utaathirika kwakuwa wateja au wanajamii wengine hawataitaka tena hio kampuni na sio hivyo tu pengine kuna waliokopa wengine mda wa kurejesha bado basi watatumia mwanya huu huu wa mgogolo huu kutorejesha sababu kama kampuni wataingiwa na kupooza fulaniNa ninaamini kuwa kuna sheria nzuri za BOT(kwenye makaratasi) katika kuthibiti hizi microfinances BUT kama kawaida yetu hakuna usimamiaji na uthibiti wake matokeo tasisi hizi zinajichukulia sheria mikononi na kuona kuwa kupiga,kuteka, kutesa hata kuua ni sehemu ya ku enforce debt collection!!
Wwe sisi tunaongelea mikopo ya pesa ya kula tu wwe unakuja na mikopo yako ya kujenga maghorofa!!Kukopa bila kulipa ni wizi kwa njia ya ulaghai .
Ni wizi wa kuaminiwa.
Kuna familia nimewaambia sitaenda kuwashitaki kwa kesi ya madai ili wanilipe watakavyo la hasha,
Nitafungua kesi ambayo hawataamini.
Lipeni madeni ya watu.
Fikiria mtu anadaiwa mamilioni na Watu lakini anajenga ghorofa, hiyo si ni dharau aisee!
Hapana haikubaliki.
Duh,Na ndio lengo la serikali ya CHURA kwa watanganyika. BOT haina meno zidi ya hz kampuni zenye asili ya znz. Na bado mpk muishe watanganyika.Ukijua jina la mmiliki wa kampuni hii na watu wake wa karibu lazima udate tu.
All the best
Mmiliki ni nani hasa?