Pwani: Wafanyakazi wa kampuni ya mikopo ya OYA, mbaroni kwa tuhuma za mauaji

Pwani: Wafanyakazi wa kampuni ya mikopo ya OYA, mbaroni kwa tuhuma za mauaji

Kulipa deni kwa wakati ni kipimo cha imani.

Wenye mioyo migumu hawalipi na waona ni Sawa tu.

Ktk Hadithi za Mtume Muhammad S. W. Mojawapo ya kipimo cha uchaji Mungu ni :

Ukitaka kumjua mcha Mungu na fedhuli/bandidu mkopeshe.

Mcha Mungu atakulipa kabla ya wakati.

Lakini fedhuli/ bandidu/Pagani/Mchawi/Jambazi /Mhuni halipi mpaka kwa mbinde tena hadi muingie kwenye uadui.

Lipeni madeni ya watu kama mlivyokubakiana.
 
Hela inapatikana kwa ugumu sana Halafu ukope kisha hutaki kulipa Hela ya mtu au Watu,
Huo si ni wizi kama wizi mwingine?!

Lipeni Hela za watu la sivyo mtapata tabu na watoto wenu.
 
Hakuna Hela inapatikana kirahisi.
Hata wadangaji wanapata tabu mara wafanywe vibaya kinyume na maumbile Yaani ilimradi na ndio maana malaya wote na wadangaji na makahaba huwa wamejaa matusi sababu ya kazi zao kuwa ngumu kama Makuli wa bandarini.
Halafu Eti ukope usilipe Hela ya mtu weeee!
Thubutuuu !
 
Nasema hivi:
Kama umekopa mkopo lipa kwa wakati kama mlivyokubaliana na sio ubabaishaji.
Watu hawataki kulipa madeni ya watu.
Na wanakuwa na ujeuri kabisa, Kwanini?
Lipeni bana Hela za watu kama mlivyokubakubaliana
Kwani sheria inasemaje? Mtu akishindwa kulipa deni apigwe au auwawe? Naamini kampuni hizi za mikopo zinafanya shughuli zao kwa mujibu wa sheria na taratibu zitolewazo na BOT na sidhani kumpiga mdaiwa ni sehemu ya namna sahihi ya kupata marejesho.
 
Ni Sawa lakini hatujui yaliyojiri Pengine walikuwa ktk kujihami je?
Tatizo wakopaji wanajisahau sana.
Pia zingatia hata ktk ngazi ya mtu binafsi, mtu na mtu watu hawalipi madeni kwa wakati sababu ya ugumu wa mioyo.

Mtu hataki kulipa deni na kisha anakujibu jeuri anakwambia nenda kashitaki popote .

Kumbuka kwanza kufuatilia madeni kuna involves costs.

Wengine hadi wanashindwa kulipa mishahara wafanyakazi lakini Hela ziko mikononi mwa watu wajeuri hawataki kulipa.
 
Kukopa bila kulipa ni wizi kwa njia ya ulaghai .
Ni wizi wa kuaminiwa.
Kuna familia nimewaambia sitaenda kuwashitaki kwa kesi ya madai ili wanilipe watakavyo la hasha,
Nitafungua kesi ambayo hawataamini.

Lipeni madeni ya watu.

Fikiria mtu anadaiwa mamilioni na Watu lakini anajenga ghorofa, hiyo si ni dharau aisee!

Hapana haikubaliki.
Unamdai laki moja yako kukulipa hataki lakini unaskia kafanya birthday party ya laki tano.
Wakopaji wanashindwa kurudisha sio kwa sababu nyingine bali kukopa bila malengo muhimu au jeuri tu.

Mimi nikiwa na deni la mtu sipati amani mpaka nimalize deni.
 
Maisha yanakwenda kasi kinoma!
Takribani muongo mmoja uliopita wanawake ndio walikuwa wanawatuliza wadeni, wadaiwa wakiwa wanaume (na hawakuwa wakiuawa); kwa sasa wanaume ndio watukiza varangati na wanauawa
 
Maisha yanakwenda kadi kinoma!
Takribani muongo mmoja uliopita wanawake ndio walikuwa wanawatuliza wadeni, wadaiwa wakiwa wanaume (na hawakuwa wakiuawa); kwa sasa wanaume ndio watukiza barangati na wanauawa
Kweli asisee zamani Mwanaume ndiye alikuwa anajificha Mke anatuliza hali ya hewa ukiwa bondeni huko umekula miti.
 
Na nyie mnaochukulia poa ndio mna tabia ya kutolipa.

Yaani unavyoandika utadhani unanijua vile shubamitiii...

Sidhani kama walimtoa roho kw akukusudia bali kulikuwa na prukushani huku watu wenyewe wanatembea wameshajifia kitambo wanasubiri sababu tu.

Mwenye deni alikuwa ni mkewe...
 
Ni Sawa lakini hatujui yaliyojiri Pengine walikuwa ktk kujihami je?
Tatizo wakopaji wanajisahau sana.
Pia zingatia hata ktk ngazi ya mtu binafsi, mtu na mtu watu hawalipi madeni kwa wakati sababu ya ugumu wa mioyo.

Mtu hataki kulipa deni na kisha anakujibu jeuri anakwambia nenda kashitaki popote .

Kumbuka kwanza kufuatilia madeni kuna involves costs.

Wengine hadi wanashindwa kulipa mishahara wafanyakazi lakini Hela ziko mikononi mwa watu wajeuri hawataki kulipa.
Nd
Kwani sheria inasemaje? Mtu akishindwa kulipa deni apigwe au auwawe? Naamini kampuni hizi za mikopo zinafanya shughuli zao kwa mujibu wa sheria na taratibu zitolewazo na BOT na sidhani kumpiga mdaiwa ni sehemu ya namna sahihi ya kupata marejesho.
 
Aisee inasikitisha sana, BOT kuna mahali wanazembea.

Na nyie wanawake mikopo itawaua kama sio kuwaacha wajane. Kuna mtaa wamama na wanawake wengi wameyakimbia makazi yao kisa mikopo. Na walio wengi wakikopa maisha yao ndio yanazidi kuwa magumu zaidi sasa sijui wanaendelea kukopa kwanini?
 
Shtukeni OYA wameshaona wanaandamwa Wamefungua KAMPUNI ingine inajiita HOPE MICROFINACE hao nao wana vi IST vyeupe.. ni OYA wale wale.

MSijichanganye, OYA haina miaka miwili kuanzia sasa inapotea.
OYA Ni ya kiongozi gani anaye jiamini kivile?
 
Back
Top Bottom