BabaDesi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2007
- 6,122
- 4,060
...Hawa OYA Wamesema Sana na Wananchi lakini Serikali haiwachukulia Hatua yoyote ! Inamilikiwa na Mheshimiwa Mmoja Serikali I ????...Hawa Oya wanasemwa sana. Unampigaje mdai wako,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...Hawa OYA Wamesema Sana na Wananchi lakini Serikali haiwachukulia Hatua yoyote ! Inamilikiwa na Mheshimiwa Mmoja Serikali I ????...Hawa Oya wanasemwa sana. Unampigaje mdai wako,
Kwani sheria inasemaje? Mtu akishindwa kulipa deni apigwe au auwawe? Naamini kampuni hizi za mikopo zinafanya shughuli zao kwa mujibu wa sheria na taratibu zitolewazo na BOT na sidhani kumpiga mdaiwa ni sehemu ya namna sahihi ya kupata marejesho.Nasema hivi:
Kama umekopa mkopo lipa kwa wakati kama mlivyokubaliana na sio ubabaishaji.
Watu hawataki kulipa madeni ya watu.
Na wanakuwa na ujeuri kabisa, Kwanini?
Lipeni bana Hela za watu kama mlivyokubakubaliana
Kwani sheria inasemaje? Mtu akishindwa kulipa deni apigwe au auwawe? Naamini kampuni hizi za mikopo zinafanya shughuli zao kwa mujibu wa sheria na taratibu zitolewazo na BOT na sidhani kumpiga mdaiwa ni sehemu ya namna sahihi ya kupata marejesho.
Sasa iweje kampuni yenye weledi ikopeshe waswahili ikijua uwezo wa kulipa hawana?Waswahili anaweza kukopa pesa ili afanye birthaday Majirani wakome.
Mwisho wa siku kuzilipa inakuwa ngumu sana.
Swala la kuweza kulipa linabaki kuwa wajibu wa mkopaji.Sasa iweje kampuni yenye weledi ikopeshe waswahili ikijua uwezo wa kulipa hawana?
Kifo ni Drama😂😂Acha tu ndugu yangu imenisikitisha sana, hivi uhai wa mtu kwa 300K? Walishindwaje kwenda naye mdogo mdogo, anyway kifo ni kifo tu. (Madam president)
Wakikuchafua CRB ni kweli hutokopesheka maana kila mtu akiingiza jina lako unaonekana huwa hulipi madeni.
Unamdai laki moja yako kukulipa hataki lakini unaskia kafanya birthday party ya laki tano.Kukopa bila kulipa ni wizi kwa njia ya ulaghai .
Ni wizi wa kuaminiwa.
Kuna familia nimewaambia sitaenda kuwashitaki kwa kesi ya madai ili wanilipe watakavyo la hasha,
Nitafungua kesi ambayo hawataamini.
Lipeni madeni ya watu.
Fikiria mtu anadaiwa mamilioni na Watu lakini anajenga ghorofa, hiyo si ni dharau aisee!
Hapana haikubaliki.
Unaona mtu kama huyu kakopa pesa ya mtu amnaye naye kaipata kwa shida lakini anapojaribu kukudai una Unamblock?
Na nyie mnaochukulia poa ndio mna tabia ya kutolipa.Sio poa kabisa...
Mkopo tu ndio hadi kutoana roho
Kweli asisee zamani Mwanaume ndiye alikuwa anajificha Mke anatuliza hali ya hewa ukiwa bondeni huko umekula miti.Maisha yanakwenda kadi kinoma!
Takribani muongo mmoja uliopita wanawake ndio walikuwa wanawatuliza wadeni, wadaiwa wakiwa wanaume (na hawakuwa wakiuawa); kwa sasa wanaume ndio watukiza barangati na wanauawa
Na nyie mnaochukulia poa ndio mna tabia ya kutolipa.
Sidhani kama walimtoa roho kw akukusudia bali kulikuwa na prukushani huku watu wenyewe wanatembea wameshajifia kitambo wanasubiri sababu tu.
NdNi Sawa lakini hatujui yaliyojiri Pengine walikuwa ktk kujihami je?
Tatizo wakopaji wanajisahau sana.
Pia zingatia hata ktk ngazi ya mtu binafsi, mtu na mtu watu hawalipi madeni kwa wakati sababu ya ugumu wa mioyo.
Mtu hataki kulipa deni na kisha anakujibu jeuri anakwambia nenda kashitaki popote .
Kumbuka kwanza kufuatilia madeni kuna involves costs.
Wengine hadi wanashindwa kulipa mishahara wafanyakazi lakini Hela ziko mikononi mwa watu wajeuri hawataki kulipa.
Kwani sheria inasemaje? Mtu akishindwa kulipa deni apigwe au auwawe? Naamini kampuni hizi za mikopo zinafanya shughuli zao kwa mujibu wa sheria na taratibu zitolewazo na BOT na sidhani kumpiga mdaiwa ni sehemu ya namna sahihi ya kupata marejesho.
OYA Ni ya kiongozi gani anaye jiamini kivile?Shtukeni OYA wameshaona wanaandamwa Wamefungua KAMPUNI ingine inajiita HOPE MICROFINACE hao nao wana vi IST vyeupe.. ni OYA wale wale.
MSijichanganye, OYA haina miaka miwili kuanzia sasa inapotea.