uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 17,060
- 32,400
Elimu, Elimu, elimu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakopeshaji wameshindwa kufuata taratibu za madai, mwisho wa siku jinai imewandondokea, mbona kazi wanayo, zigo la jinai si jepesi kihivyo hata kama una pesa!!Mkumbo!
Kufata mkumbo!
Kuwa wafanyakazi wa kampuni ya ukopeshaji hakukupi haki ya kumshambulia mdaiwa.
Civil case za madai zipo taratibu za kumfikisha mdaiwa mahakamani awajibishwe, sio kumpiga, kumuua..
Nawasubiri cash x, pesa x na mkopo fasta na wengine siku watakayokuja maana walinitukana kwa simu na sms, niwatandike risasi za mkund#
funzo kwa wengineHela wanakosa na jela wanasota
wamejitia bonge la doaHawa Oya wanasemwa sana. Unampigaje mdai wako,
Wanakuwaga na local patrons. Wanasiasa wengi wametajirika kwa style hiiMbona mimi nimesoma kwamba founder ni mGhana? Pia kampuni ipo nchi nyingi za Africa so kote huko ni zake au yeye ana shares tu kwa hapa bongo? Ufafanuzi plz
?Mwana kulitafuta mwana kulipata
'Wamekosa bara na pwani.'Wamepoteza den na maisha vyote kwa pamoja
Umri huu nilionao wa miaka 30+ nimeona Na nimejifunza mengi sana ya Dunia, nimepitia mengi kuliko hata hao wanaojiita wazee, kuna nyakati Huwa naamua kukaa peke yangu Na kucheka tu, hasa ninapomuona mwanadamu anamfanyia mwenzie ubaya, au roho mbaya, , kaka haya maisha ni mafupi sana, tupendane.Mkuu vipi ishawahi kukukuta!?
😄Waswahili anaweza kukopa pesa ili afanye birthaday Majirani wakome.
Mwisho wa siku kuzilipa inakuwa ngumu sana.
Hapo mwajiri atawakana. Kampuni itakataa kutoa maagizo ya hovyoHela wanakosa na jela wanasota
Aiseee , mke wako akijitumbukiza huko umekwisha kwa hali hiyo4m RIBA 1,440,000
Ukipewa 4m maombi ya Mkopo ni 200k hivyo hela unayopewa ni 3.8m
Unapotudsha jumla rejesho na deni urudshe 5,440,000.
Rejesho ni kwa wiki 450k kila wiki usiipitishe, siku wala saaa.
Hivi rejesho la Wiki si kutafutia watu waongee wenyewe.
Mkopo ni wa miezi mi 3 tu... hao ndio OYA/HOPE MICROFINANCE.
Msijichanganye
Ukute mishahara yao ilikuwa haizidi LAKI MBILI,leo hii MURDER CASE inawahusu,watasota sana Jela