Pwani: Wafanyakazi wa kampuni ya mikopo ya OYA, mbaroni kwa tuhuma za mauaji

Pwani: Wafanyakazi wa kampuni ya mikopo ya OYA, mbaroni kwa tuhuma za mauaji

Mimi ndio maana mambo ya kuingiana mwilini siyapendi kabisa.....najitahidi sana kuziepuka shari kwa namna yoyote ile..........

Pengine ilikuwa tu purukushani ya kawaida lakini ndio hivyo tena unapotoka uhai wa mtu huwa hakuna dogo........

Mungu atuepushie mbali na hasira za kijinga......

KWA SHUJAA HAKUISHI MISIBA.......
 
4m RIBA 1,440,000

Ukipewa 4m maombi ya Mkopo ni 200k hivyo hela unayopewa ni 3.8m

Unapotudsha jumla rejesho na deni urudshe 5,440,000.

Rejesho ni kwa wiki 450k kila wiki usiipitishe, siku wala saaa.

Hivi rejesho la Wiki si kutafutia watu waongee wenyewe.

Mkopo ni wa miezi mi 3 tu... hao ndio OYA/HOPE MICROFINANCE.

Msijichanganye
450k per week lazm uwe mwehu ni biashara gan inakupa faida hiyo..
 
4m RIBA 1,440,000

Ukipewa 4m maombi ya Mkopo ni 200k hivyo hela unayopewa ni 3.8m

Unapotudsha jumla rejesho na deni urudshe 5,440,000.

Rejesho ni kwa wiki 450k kila wiki usiipitishe, siku wala saaa.

Hivi rejesho la Wiki si kutafutia watu waongee wenyewe.

Mkopo ni wa miezi mi 3 tu... hao ndio OYA/HOPE MICROFINANCE.

Msijichanganye
Hii ni noma.
 
Sio poa kabisa...

Mkopo tu ndio hadi kutoana roho
 
Back
Top Bottom