Q-Net na Forever Living zimenipotezea marafiki zangu wa karibu

Vijana wa vyuo vikuu ndio wengi mimi mwaka huu kuna mtu aliita nikafika mikocheni mchana eti salam GOOMORNING nikajua nishakiingia, nilikasirika sana that day hadi leo simu yangu haioni na yeye hanitafuti.

Wale wanaojiita ma-Lecture wa Chuo ni kweli maana wanataja jina moja tu uwezi ku-google
 
Daah mmenikumbusha kuna demu ananisumbua niende kwenye kikao cha semina
 
Saa 1 inauzwa 5m
 
Qnet
GNLD
Tiens
Forever living
Oriflame
D9
Aim Global

Ogopa sana hizi biashara na story zake...
Janja janja nyingi sana dunia hii,,usipokuw makini pesa unapigwa alaf hamna kinachoendelea
 
dah moja ya mademu wakali niliowahi kuwala ni kutokana na hizi taarifa za qnet keep them coming to me
 
Kuna jamaa yangu ni askari magereza, kila tukikaa kwenye vikao vya 'viti virefu' huwa haachi kugumia maumivu ya kupigwa 6 Mil za Qnet.... Wasiwasi wangu nadhani ipo siku atamfyatulia risasi mtu wa Qnet aliyemuunganisha.[emoji23]
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Kuna dem amenitafuta sana wiki ya pili hii simjui ila anapiga simu anasema tuonane kuna ishu ya maana tukajadili lakini hasemi ni nini.sasa namvutia upepo tu amesema weekend hii tukutane makumbusho.ila nazani ni hizi mambo
Makumbusho makutano yao pale stendi kuna kaghorofa cha kishkaji..ukikuta vijana wamevaa smart suit jua ndio hapo
 
Q- Net imeanza kutoa majibu
 
Kuna huyu kataka kuniigiza mkenge. Nimeitika wito nimewasikiliza ila wangejua nalowawazia [emoji23][emoji23][emoji23] .
Hiyo hela bora nifanyie vingine labda biashara za kawaida ambazo ni physical hata ikifeli najua pale nimefeli lakini siyo hivi.
 
Hawa weu wanasumbua kinoma, pasaka waliniarika ,kushuudia eti wanavokea zawadi

Mshikaji Wang alipewa iPhone ,wakahis kabda ntashawishika,
Nimewalia but lakini Bado wanalazimisha ,

Waliniboa tu Mambo ya Good morning saa mbili usiku
 
Hahahaha kuna siku niliitwa sinza aisee kuna wadada wanajua kuongea kuna jamaa mmoja alinunua dawa ya meno kwa 50k wakamwambia akienda kuiuza atauza 200k mpaka akaamua kutumia mwenywew tu
 
Mimi niliitwa sehemu jamaa akaanza kumwaga sera ni vile nlikuw sina hela ila nlkuw naingia na ningeliwa kweli maana nliona kama fursa vile,kumbe wahuni dah staki kuwaskia kabsa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…