Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Nipe mawasiliano yake mkuu ...Kuna demu mmoja namuangalia tu alafu nacheka hiiiiihi, ananishawishi mno mtandaoni nijiunge na vikampuni vyao vya mtandaoni anajifanya yupo US kumbe ypo hapa bongo mana mji anaonambia yupo nikimuuliza saa ngapi anajibu uongo nikimuuliza Mr google wanatofautiana kabisa. Sasa ngoja ntamtaftia mbinu zangu shubaamit
Sisi ndo tunaweza kumtapeli , tukamgeuzia mchezo