Kwenu ni mkoa gani ? Niko tayari kukupa nauli urudi kwenu ukaupdate ubongo kwanza kwa wanayotafanya QNET najua na akili bado haijakaa sawa .Ila Q net mnanifanya naishi kama digi digi kwenye mji wa watu 🥲🥲🥲🥲🥲🥲🥹😭😭. Ndugu zangu mwenye kazi yoyote mwanza naomba Nina hali ngumu sana.
PmKatavi mpanda
Huyo Q NET hamjui kaka ?Kwanza hao NetQ ni nani?
Ungeelezea pengine ungepata msaada kwenye uonevu ulio tendewa
Duuh polee sanaa.Nauli changamoto ndo natafuta kazi angalau nipate nauli
Wanadanganya watu wanafanya biashara mtandao ili wakutapeli. Walipoona nimeshituka nilipokuwa nimefikia kwa rafiki yangu amenifukuza na ndo aliyeniita et njoo mwanza Kuna kazi ya ujenzi wa ghorofa nafika mwanza nakuta ni mambo ya utapeli 😭😭😭😭.Kwanza hao NetQ ni nani?
Ungeelezea pengine ungepata msaada kwenye uonevu ulio tendewa
Duhhhh pole sanaWanadanganya watu wanafanya biashara mtandao ili wakutapeli. Walipoona nimeshituka nilipokuwa nimefikia kwa rafiki yangu amenifukuza na ndo aliyeniita et njoo mwanza Kuna kazi ya ujenzi wa ghorofa nafika mwanza nakuta ni mambo ya utapeli 😭😭😭😭.
Sio wapya wapo kitambo. Mimi namaliza chuo naingia mtaani katika mishe mishe za hapa na pale nikakutana nao. Wakanialika ofisini kwao. Nikawasikiliza nikajua hakuna kitu hapa. Nikaachana naoHuyo Q NET hamjui kaka ?
Ni gujamaa gupya gunaishi hapo posta gunatapeli vijana na wazee eti gunawadanganya gutawaleleka nchi za nje
Ila Q net mnanifanya naishi kama digi digi kwenye mji wa watu 🥲🥲🥲🥲🥲🥲🥹😭😭. Ndugu zangu mwenye kazi yoyote mwanza naomba Nina hali ngumu sana.