Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Jibu zuri kabisaaaThinking yenu huwa siielewi kabisa, mmekaa kimihemko na ushabiki sana, hamjui kufikiria vizuri kabisa, kwenu ni bora siku ipite kwa kumtaja Magufuli, ili mkila ugali upite vizuri kwenye koo.
Wewe unaamini tatizo la umasikini/poor decision nchi hii lililetwa na Magufuli, wala huoni kama ni la kimfumo, sasa mbona lilishakuwepo hata kabla ya ujio wa Magufuli?
Mbona hujiulizi, licha ya madini tuliyonayo, ikiwemo Tanzanite, yanayopatikana Tanzania pekee bado tuko nyuma kimaendeleo, kwanini uamini hiyo gesi inayopatikana maeneo mengi duniani ingetutoa kwenye umasikini? kwa usimamizi gani? wa CCM hii hii?!
Nyie mnages nyieLeo hii Tanzania tungekuwa tunauza gesi yetu Ulaya kwa bei ya juuu baada ya Urusi kususiwa.😭😭
Tazama hiyo ni nchi ya Qatar
Kabla ya kugundua gesi mwaka 2002 uchumi wao ulikuwa dola bilioni 19 tu, baada ya kugundua gesi uchumi wao leo ni dola bilioni 220.
View attachment 2465599
Hii imeniuma sana kwa kuwa Magufuli alitupa kwenye pipa la taka mradi wetu wa gesi.
Akadanganya kuwa gesi yetu imetwaliwa na mabeberu, sasa kama ilitwaliwa aliwezaje kuisimamisha?
Na kama alikuwa Waziri mwandamizi kwenye serikali ya Kikwete kwa nini hakulisema hilo au hata kujiuzulu kuokoa gesi isiende kwa mabeberu?
Samia anawezaje ku negotiate mkataba ya gesi na nchi nyingine hivi sasa?
Yule bwana ukiacha kwamba alikuwa mtu wa mihemko Ila kwa sehemu kubwa hakuwa na akili na exposure ya Uchumi na biashara..Leo hii Tanzania tungekuwa tunauza gesi yetu Ulaya kwa bei ya juuu baada ya Urusi kususiwa.😭😭
Tazama hiyo ni nchi ya Qatar
Kabla ya kugundua gesi mwaka 2002 uchumi wao ulikuwa dola bilioni 19 tu, baada ya kugundua gesi uchumi wao leo ni dola bilioni 220.
View attachment 2465599
Hii imeniuma sana kwa kuwa Magufuli alitupa kwenye pipa la taka mradi wetu wa gesi.
Akadanganya kuwa gesi yetu imetwaliwa na mabeberu, sasa kama ilitwaliwa aliwezaje kuisimamisha?
Na kama alikuwa Waziri mwandamizi kwenye serikali ya Kikwete kwa nini hakulisema hilo au hata kujiuzulu kuokoa gesi isiende kwa mabeberu?
Samia anawezaje ku negotiate mkataba ya gesi na nchi nyingine hivi sasa?
Gesi ina expire date kuwa imeoza baada ya JPM kuiweka pending? Kama haipo basi hakuna tatizo itatumika.
Mjinga tu. Wewe una chuki tu na magufuli. Sasa hapo Magufuli anahusika vipi na gesi kuuzwa Ulaya? Kinachojulikana priority ilikua gesi izalishe umeme, hatua inayofuata ya kuuza nje ndio itafuata.Leo hii Tanzania tungekuwa tunauza gesi yetu Ulaya kwa bei ya juuu baada ya Urusi kususiwa.😭😭
Tazama hiyo ni nchi ya Qatar
Kabla ya kugundua gesi mwaka 2002 uchumi wao ulikuwa dola bilioni 19 tu, baada ya kugundua gesi uchumi wao leo ni dola bilioni 220.
View attachment 2465599
Hii imeniuma sana kwa kuwa Magufuli alitupa kwenye pipa la taka mradi wetu wa gesi.
Akadanganya kuwa gesi yetu imetwaliwa na mabeberu, sasa kama ilitwaliwa aliwezaje kuisimamisha?
Na kama alikuwa Waziri mwandamizi kwenye serikali ya Kikwete kwa nini hakulisema hilo au hata kujiuzulu kuokoa gesi isiende kwa mabeberu?
Samia anawezaje ku negotiate mkataba ya gesi na nchi nyingine hivi sasa?
Kwamba tumechelewa kuingiza gesi sokoni. Hahaha Kazi ipo.Umeuliza swali la kidwanzi!! Ninajua hufahamu “game of timing”. Sisi tuna makaa ya mawe (yasiyo na expiry date kama unavotaka). Kama tungeyachimba miaka iliyopita ingesaidia. Sasa hatuwezi kuyachimba kwa sababu yanapigwa vita kwa uharibifu wa mazingira!! Shida iko hapa - tumechelewa kuingiza gesi sokoni na tutaowakuta sokoni tayari, wataathiri mapato yetu!!
Ni akili hii ya vijana wakumbafu* imelifikisha taifa hapa. Kudhani muda mara zote uko upande wetu. Kijana ww hovyo sana.
Mifumo ya ccm ni ya wizi mtupu. Sema jpm analaumiwa kwa sababu aliongeza tatizo kipindi watu walitarajia yeye angekuwa mkomboziThinking yenu huwa siielewi kabisa, mmekaa kimihemko na ushabiki sana, hamjui kufikiria vizuri kabisa, kwenu ni bora siku ipite kwa kumtaja Magufuli, ili mkila ugali upite vizuri kwenye koo.
Wewe unaamini tatizo la umasikini/poor decision nchi hii lililetwa na Magufuli, wala huoni kama ni la kimfumo, sasa mbona lilishakuwepo hata kabla ya ujio wa Magufuli?
Mbona hujiulizi, licha ya madini tuliyonayo, ikiwemo Tanzanite, yanayopatikana Tanzania pekee bado tuko nyuma kimaendeleo, kwanini uamini hiyo gesi inayopatikana maeneo mengi duniani ingetutoa kwenye umasikini? kwa usimamizi gani? wa CCM hii hii?!
Misukule kwa nini mna hasira hivi?Gesi Yako unayo tumboni hakuna wa kukudhulumu
RIP Magufuli
RIP Pope Benedict