Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
- Thread starter
- #41
Hujui kuwa Tz na Kenya wameingia mkataba wa kuuziana gesi?Tanzania inauza Gas, Kenya? Inasafirishwa kwa njia gani.
Hivi unajua huko ulaya Gas ya Qatar ambayo Germany imeagiza na sidhani kama ata ni robo ya demand yao, ili wananchi wa afford serikali imetenga Euro billion 200 kama subsidies ya Gas.
Sasa gas uitoe Tanzania hadi ulaya ni logistic nightmare kwao given their demand volume.
Ignorance is bliss