Qatar ilipata utajiri kutokana na gesi. Kwanini Tanzania ilizuia miradi ya gesi?

Na kama alikuwa Waziri mwandamizi kwenye serikali ya Kikwete kwanini hakulisema hilo au hata kujiuzulu kuokoa gesi isiende kwa mabeberu?
Hiyo Aya imefanya nione uwezo wako wa kuchanganua Mambo ni mdogo sana.....!

Ungeendelea tu kula Ugimbi na Wana CCM wenzako huko Mpwapwike.
 
Hiyo Aya imefanya nione uwezo wako wa kuchanganua Mambo ni mdogo sana.....!

Ungeendelea tu kula Ugimbi na Wana CCM wenzako huko Mpwapwike.
Kwani nipo hapa kujali unachofikiri kuhusu uwezo wangu? 😂😂
 
CCM hawataki hivyo sababu nchi ikiwa tajiri wananchi wataelimika hivyo hawatabebana tena kiukoo, Tanzania inaendeshwa na kikundi cha watu wasiozidi mia 1(100) kati ya watu milioni 61
 
Jamaa wanapiga pesa tu
 
Yoyote anayeamini maendeleo yataletwa na CCM atakuwa amelaaniwa yeye na kizazi chake chote
 
Yoyote anayeamini maendeleo yataletwa na CCM atakuwa amelaaniwa yeye na kizazi chake chote
 
Yoyote anayeamini maendeleo yataletwa na CCM atakuwa amelaaniwa yeye na kizazi chake chote
 
 
Gesi Yako unayo tumboni hakuna wa kukudhulumu

RIP Magufuli

RIP Pope Benedict
Yaa kinchowafaa hao ulowataja ni kuota waliojiwashiabwakiwa duniani, hawakuju kama watakufa siku moja, ni kma hvi wwbleo naon hulluamin kbsa kufa thts y bdo umesimamia misimamo ya kuwaobea amabo dua haziwfai ten, zinduka njia iko wazi kka...
 
Hatukuwa na chetu Hadi magu alipobadirisha Sheria wakasusa,havi hatuwezi kukopa tukachimba wenyewe?
Sheria imebadilishwa ikasemaje? Saizi **** mradi wa gas wa Til.82 unaendelea Sasa huo Ni mradi wa Nani? Kwa Nini Serikali inashiriki Kama sio wetu?
 
Hitler analaaniwa kila siku kwa kuwaoka wayahudi Kama mikate
Kwanini Hitler tu maana kila mtu anataja Hitler tu labda kidogo na Idd Amin basi? Sasa sijaelewa kwanini Hitler tu ina maana hakuna mwengine au hilo jina mmelikariri tu?
 
Abgejiuzulu, kama alikuwa mzalendo na akaona nchi inapigwa vibaya na wewe unajua na hupingi wala kujitenga nao, wewe pia ni fisadi papa
Angejiuzulu ingesaidia nini? Kujiuzulu na kufanya yale anayoamini ni ya kizalendo kwa nafasi aliyokuwa nayo wakati huo bora nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…