Uzoefu wake katika uongozi ni upi?
| Queen Sendiga | |
|---|---|
|
| |
| Amezaliwa | 1973 |
| Utaifa | Mtanzania |
| Majina mengine | Queen Cuthbert Sendiga |
| Kazi yake | Mwanasiasa, Mwanaharakati, Mfanyabiashara,mkuu wa mkoa wa Iringa |
| Chama cha siasa | Alliance for Democratic Change |
| Mwenza | Maneno Mbegu |
| Watoto | 3 |
Sijapata kufahamu zaidi
Queen Sendiga Amezaliwa 1973 Utaifa Mtanzania Majina mengine Queen Cuthbert Sendiga Kazi yake Mwanasiasa, Mwanaharakati, Mfanyabiashara,mkuu wa mkoa wa Iringa Chama cha siasa Alliance for Democratic Change Mwenza Maneno Mbegu Watoto 3
Kumekucha kumekucha, hebu endeleza haka kastori kaka.... 😀😀Wale wagombea wote wanawake wako TISS makao makuu. Hata mama Anna Mwighira ni TISS mbobevu kwa taarifa yako. Mnachezewa akili mnademka tu
Kiukweli Kwini Sendiga yupo vizuri upstairs,anastahili.
Uzoefu wake katika uongozi ni upi?
Mpaka kukabidhiwa kugombea Urais atakuwa vizuri na hata ukimsikiliza kwenye mikutano yake ni mtu ambaye anajielewa.
Kama ile CV ya yule dogo wa UVCCM aliyeteuliwa kuwa DG wa TPDC na kisha kutumbuliwa ghafla.Huu wasifu hauna tofauti na wasifu wa Musiba
ADC.Chama chake kinaitwaje?
Ana uzoefu mkubwa sanaAna uzoefu gani wa uongozi katika sekta ya umma au binafsi?
Ana uzoefu mkubwa sana
Unaweza kudhibitisha kuwa ni watumishi wa TISS? Any concrete evidence please?Wale wagombea wote wanawake wako TISS makao makuu. Hata mama Anna Mwighira ni TISS mbobevu kwa taarifa yako. Mnachezewa akili mnademka tu
Niweke wapi?Uweke huo uzoefu
Niweke wapi?
Alliance for Democratic ChangeADC.
Ndiyo kilichotokeaMambo vp jamiiforums
Hongera sana dada yangu kipenzi Queen Cuthbert Sendiga kutoka chama cha ADC kwa kuchaguliwa kuwa mkuu mpya wa mkoa (RC) wa Iringa. Mungu akakusimamie na kukupa muongozo sahihi kwa kuwatumia watanzania waishio katika mkoa huo.
Mama yetu kipenzi Rais Samia alisema atajumuisha watanzania wote katika uongozi wake bila kuangalia itikadi za vyama na hakika amefanya hivyo. Hongera sana Rais Samia Hassan. RC Queen tuna imani kubwa na wewe, usiwaangushe ndugu zetu wa Iringa.
==========
View attachment 1786016
==========
Wadau Facebook September 2020;
View attachment 1786020
==========
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
ADC ni CCM FADC siyo CCM B kweli? Basi hongera zake!
Ni mjanja mjanja fulani hivi hana background nzuri snInfantry soldier ingependeza zaidi ungeweka level ya elimu na uzoefu wa uongozi wake, kwa sisi tusio mjua.