Queen Cuthbert Sendiga: "Nitahakikisha wagombea urais wote waliojitokeza kuwania wanapata nafasi ndani ya serikali yangu

Queen Cuthbert Sendiga: "Nitahakikisha wagombea urais wote waliojitokeza kuwania wanapata nafasi ndani ya serikali yangu

Wale wagombea wote wanawake wako TISS makao makuu. Hata mama Anna Mwighira ni TISS mbobevu kwa taarifa yako. Mnachezewa akili mnademka tu
Unaweza kudhibitisha kuwa ni watumishi wa TISS? Any concrete evidence please?
 
Mambo vp jamiiforums

Hongera sana dada yangu kipenzi Queen Cuthbert Sendiga kutoka chama cha ADC kwa kuchaguliwa kuwa mkuu mpya wa mkoa (RC) wa Iringa. Mungu akakusimamie na kukupa muongozo sahihi kwa kuwatumia watanzania waishio katika mkoa huo.

Mama yetu kipenzi Rais Samia alisema atajumuisha watanzania wote katika uongozi wake bila kuangalia itikadi za vyama na hakika amefanya hivyo. Hongera sana Rais Samia Hassan. RC Queen tuna imani kubwa na wewe, usiwaangushe ndugu zetu wa Iringa.
==========
View attachment 1786016
==========
Wadau Facebook September 2020;

View attachment 1786020
==========
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Ndiyo kilichotokea
 
Back
Top Bottom