Queen Darleen ahama kwenye nyumba ya Mbezi Beach arudi kwao Sinza

Queen Darleen ahama kwenye nyumba ya Mbezi Beach arudi kwao Sinza

Nadhani mwenye kosa ni hiyo Queen Darleen aliyeamua kuyaweka maisha yake binafsi hadharani. Maana mleta mada kasema katumia Insta live.

Mi nilikua najua ni rumors tu had yeye mwenyew alivyosema ni kweli karud kwa mama yake, mi nikiwaza lile tashtiti la 40 ya mtoto utasema queen darln millionaire kumbe hovyo mxirwww
 
Huyu usimweleze wanatuletea maadili ya kanisani kwenye jukwaa letu halafu ukiangalia kajiunga jf juzi hapo wakati wakongwe tunajua binam tunaenda nae vipi

Hapo chacha[emoji16]
 
Basi atampeleka kwenye ile hoteli yake aliyoitoa msaada kwa serikali itumike kwenye karantini ya corona kuwahifadhi wagonjwa wa hiyo kitu

Aaaaah usinikumbushe mie, Sijui uongo wake uliishia wap, had leo hatuon hotel wala hostel mxieew
 
Back
Top Bottom