enjai ya kyasha
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 3,089
- 3,634
Ndoa yao ilidum mda gan?Lakini usishangae mtu wa kumuoa akapatikana kupitia hiyo picha
Mfano Hamadi Ndikumana alimuoa Irene Uwoya baada ya kuona muvi ya Oprah ingawaje wengi walimsema vibaya uwoya kupitia ile muvi
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mleta mada acha unaa,
Naomba namba yake ya simu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aiseee,huu umagharibi umefika sehemu mbaya. Labda kama ni Photoduka,lakini kama ni picha halisi,basi ipo shida mahali.
Aiseee,huu umagharibi umefika sehemu mbaya. Labda kama ni Photoduka,lakini kama ni picha halisi,basi ipo shida mahali.
Mimi kipekee,siwez kamwe kukaa na dada yangu akiwa NAKED namna hiyo,never!
Sent from my G630-U10 using JamiiForums mobile app
Na yaliyompata Ndikumana kwa kutoa celebrity usitake kujua.Lakini usishangae mtu wa kumuoa akapatikana kupitia hiyo picha
Mfano Hamadi Ndikumana alimuoa Irene Uwoya baada ya kuona muvi ya Oprah ingawaje wengi walimsema vibaya uwoya kupitia ile muvi
La Wema mnakusema haya hili natura mchina hajafika pia mnalisema.T.ako kama zege.. Gumuuuu havutiiu kabisaaaaaaaa, aaarrhgggww