mi naunga mkono hoja ila sijui imekuwaje pande zako Heaven on earth?
^^
Baada ya kutulia kwa muda mrefu,leo najitokeza mbele yako Baba V na wana Chit chat wote,,kutangaza rasmi nia ya kuishi na Queen Kan.
...
Tafadhali Queen Kan
Nakupenda sana amin
Busara zako nathamin
Nikumbatie penzin
Nikinge tufe wawili
...
Password ya moyo
Naiomba toka kwako
Mwendo wa maringo
Hatua za hesabu hizo
Nitazificha kumoyo
...
Njoo tujikongoje
Sijui mbele kukoje
Wasikuhadae wa nje
Mungu nae atuzidishe
...
Wana CC Karibuni
Lady doctor besti
Heaven on earth
Rich woman UNDENIABLE Madame B Bishanga Arushaone Mrembo by Nature amu Mentor na wengine woteee nahitaji baraka zenu
^^
eti furaha pendoni mmhm! mie haya sisemi hapa ingieni kwenye nuru mtaona giza muda si mrefu
eti furaha pendoni mmhm! mie haya sisemi hapa ingieni kwenye nuru mtaona giza muda si mrefu
^^
Past is over,,queen yuko kwangu best.
Hao hawajui kutunza.
Nitamhifadhi ktk kilele cha furaha.
^^