QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

Lege

Hapa ni stori tu na kujibu hoja zenu sirushi SAA hizi, usiku nayo kuna Wakati huwa nafika nyumbani ile nataka kurusha tuu usingizi unanidaka
Siku sina usingizi naishia mikononi mwa mamaa, ila msijali leo ntajitaidi wakuu
 
Poa mkuu nimekuelewa, unajua utamu kolea ndio umezidi!
 
Utabiri Wangu naona kama unaweza tokea monica kuwa na kachanga ila ni mawazo yangu na uelewa wa mambo Haya
 
Asante Lege niliianza mwanzo sasa twende pamoja ,,
Story ni nzuri sana kama vile mtu una watch movie walah
Endelea kutupa mambo
 
Pauline sio mke Wa raising David, na inshu ya Kansa ni fake ya kupotea katika scene. Davi atakuwa freemanson sio Burr huyu.
 
Pauline sio mke Wa raising David, na inshu ya Kansa ni fake ya kupotea katika scene. Davi atakuwa freemanson sio Burr huyu.
Ha ha haaa, David huyo ni Alberto's! Ndo maana Ernest hataki Monica aolewe naye! Sio ya Paulina nayo kama ina ka ukweli flan hivi
 
Lege ngoja nikushukuru kwanza kabla hata sijaanza kusoma huu mzigo ulotupia!
 
Asante lege.nikishakutulia nitaisoma vizuuuuurii.wacha nifanye kazi kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…