Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mh. Yani huyu LEGE kutesa watu kwake kama jadi,nasubiri ifike mbali kidogo, maumivu ya kusubiri yanatesa sana
Punguza mbio wenzio tulisubiria toka siku ile ileHaya haya mkuu tayari macho kodoooo naisubiri....
acha aisee hiki kilevi ni sheedakaka mkuu wa dsm tafadhali pita hapa.. kuna mtu ana arosto za hadithi kwaiyo yaonyesha hiki ni kilevi flan hivi amaizing😀
Lege wewe ni Wa pekee ulitufanya kama mataje kwenye peniely, nasubr kwa ham mkuukaeni mkao wa kula story nyingine toka kwa mtunzi yule yule aliyetunga peniela now kaja na kitu kiitwacho queen monica. kutana na kijana AUSTIN JANUARY mtanashati na jasusi hatari anafanya mambo makubwa sana.
ALBERTOS kundi hatari linalotaka kuitawala dunia limeingia pia tanzania
Nilivokuona kwenye notifikeshen unabembea, nikajua tayari, nimekuja ka teja kaona mtu kadonsha keteWAKUU TUSAMEHEANE AISEE NILIPATWA NA MATATIZO KIDOGO YA KIMAJUKUMU HIVYO NIKASHINDWA KABISA KUINGIA JF JAPO HATA KUSEMA NENO JUU YA MWENDELEZO WA HII STORY KWA MASIKITIKO MAKUBWA NIWAOMBE RADHI KWA KUSHINDWA KUKAMILISHA AHADI NILIYOIWEKA KWENU YA DOZI YA 10 MARA 3. NA MBAYA ZAIDI HATA LEO SITO WEZA KUIWEKA LKN KESHO ASUBUHI NAMAPEMA WEEK END ITAKUWA YA BURUDANI NITAWEKA VIPANDE VYA KUTOSHA.
TUKUTANE KESHO ASUBUHI.
MAISHA NJE YA JF SOMETIMES YANATINGA WAKUU NA KUWA KIKWAZO
kichwa kinanigonga sana wakuu yaani hapa naangalia laptop kimachale machale ngoja nijitahidi niwashushie japo mbili tatu za kulalia aisee za kukalibisha week endBasi ngoja nifumbe macho
Watu wanavumiloaga kuchelewa kwa mishahara, lakini sio stori zako LEGE
Mhhh weka mkuu. Siwezi kulala ni arosto ya queen monica[emoji17] [emoji17] [emoji17]kichwa kinanigonga sana wakuu yaani hapa naangalia laptop kimachale machale ngoja nijitahidi niwashushie japo mbili tatu za kulalia aisee za kukalibisha week end
Mijitu haina huruma, kashasema anaumwa[emoji23] [emoji23] [emoji23]lege weka basi mkulaa
je hicho ulichoshikilia..?acha aisee hiki kilevi ni sheeda